Kwahiyo bikra waliikata ukiwa na miaka 12. We mtoto umeshindikana wallah16 babu.
Bado ipo intact kabisa babu.Kwahiyo bikra waliikata ukiwa na miaka 12. We mtoto umeshindikana wallah
HahahahahahaNdiyo wa kwanza kusheherekea mwaka mpya na mbwembwe kibao. Utaona status za wasap kama round about ya (Ccm pale Mwanza) ila kadri mwaka unavyosogea wanaanza kuwa kama wamekunywa tindikali.
Siku moja nikaona mmoja ameandika mtandaoni forever young! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikajiuliza uyoung wake uko wapi kama Bolo Yang tu kazeeka iwe yeye.
Ashley Young licha ya kuwa mwanaume ila kwa sasa umri umemgeukia. Wanawake wasiojishaua huwa wanakuwa na sura nzuri sana ambazo hazizeeki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]jamani Mimi ninayo 21. Huyo uliyesoma naye ni Mama yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona siku ile sikuiona?Bado ipo intact kabisa babu.
Kwani babu wewe bado unaona!! Si hata miwani imedunda!!!!!Mbona siku ile sikuiona?
Hata vidole havina hisia?Kwani babu wewe bado unaona!! Si hata miwani imedunda!!!!!
Mbona siku ile sikuiona?
Hivyo vidole vina macho?Hata vidole havina hisia?
Haya tuambie umri wako babyKatika vitu sijuagi ni kudanganya aisee mimi huwa nasema umri wangu kamili atayenipenda na uajuza wangu asante atakayekmbia basi. Lakini hata ninyi mnapenda kudanganywa maana mtu akikwambia ana miaka 35 unamnyanyapaa eti mzee ila unaenda kwa mtu anakwambia ana miaka 28 huku in reality ana miaka 40 na wewe unaona kabisa umedanganywa ila unakenua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe huujui? Utaniuliza kwa muda wakoHaya tuambie umri wako baby
NdiwooHivyo vidole vina macho?
Tukutane pale pa siku zote basi
Una miaka mingapi baby wa dady?
Safari hii unaniuzia?