Kwa hili wanawake mnatupatia kweli.

Kwa hili wanawake mnatupatia kweli.

Ndiyo wa kwanza kusheherekea mwaka mpya na mbwembwe kibao. Utaona status za wasap kama round about ya (Ccm pale Mwanza) ila kadri mwaka unavyosogea wanaanza kuwa kama wamekunywa tindikali.

Siku moja nikaona mmoja ameandika mtandaoni forever young! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikajiuliza uyoung wake uko wapi kama Bolo Yang tu kazeeka iwe yeye.

Ashley Young licha ya kuwa mwanaume ila kwa sasa umri umemgeukia. Wanawake wasiojishaua huwa wanakuwa na sura nzuri sana ambazo hazizeeki.
Hahahahahaha
Ila wewe si my brother??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika vitu sijuagi ni kudanganya aisee mimi huwa nasema umri wangu kamili atayenipenda na uajuza wangu asante atakayekmbia basi. Lakini hata ninyi mnapenda kudanganywa maana mtu akikwambia ana miaka 35 unamnyanyapaa eti mzee ila unaenda kwa mtu anakwambia ana miaka 28 huku in reality ana miaka 40 na wewe unaona kabisa umedanganywa ila unakenua tu

Haya tuambie umri wako baby
 
Back
Top Bottom