Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo vilaki vinne si vinatosha kabisa?
Mpaka room?
Basi sawa. Usichelewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Me tokea nimefikisha miaka 20 sikuagi tena ndo nmenata apo[emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi hiyo miaka 20 ulifikisha mwaka gani vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23]ebu niache sijui mwaka 47 hukooHivi hiyo miaka 20 ulifikisha mwaka gani vile[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ebu niache sijui mwaka 47 hukoo
Ukishamnong'oneza uje uning'ate sikio na mimi
Ukishamnong'oneza uje uning'ate sikio na mimi
Ewaah, haya ndio maneno sasa, ukinidanganya naangalia vidole nafanya kalkulesheni zangu nakupa jibu[emoji23]
Hahahaahhaaa kaka hebu fanya kuangalia vidole uniambie halafu kama umepatia ntakwambia...Mimi siyo muongoEwaah, haya ndio maneno sasa, ukinidanganya naangalia vidole nafanya kalkulesheni zangu nakupa jibu[emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hahahaahhaaa kaka hebu fanya kuangalia vidole uniambie halafu kama umepatia ntakwambia...Mimi siyo muongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahahahaha vinafanana hata nikituma hakuna tofauti[emoji23] [emoji23]
Hebu nitumie sirini vya miguu yote miwili ili nikupe jibu la uhakika.
Hahahaha acha ubishi dada, mimi ndo naujua huo utofauti.