nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
maisha yalikua magumu kuliko sasa?Mbona kipindi Cha JPM Maisha yalikuwa magumu ajira hakuna , umesahahu kipindi Cha JPM Dodoma watu walikula viwavi jeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha yalikua magumu kuliko sasa?Mbona kipindi Cha JPM Maisha yalikuwa magumu ajira hakuna , umesahahu kipindi Cha JPM Dodoma watu walikula viwavi jeshi?
Mwizi alikuwa yule muhamiaji wa Kihutu, Mayanga constructions ilikuwa ni kwa ajili ya wizi, pesa za plea bargain ulikuwa ni wizi, ujambazi wa kupora maduka ya kubadili fedha ulikuwa ni wizi.Hakuna undugu kati ya fisadi/mwizi na mwananchi wa kawaida
Huo udugu ungekuepo mchele tungenunua 1000, sabuni 1500 kama enzi za kiboko yenu.
Wajinga wengi wana chuki binafsi na magufuri japo hawana vithibitisho vya wanachoongea.Mwizi alikuwa yule muhamiaji wa Kihutu, Mayanga constructions ilikuwa ni kwa ajili ya wizi, pesa za plea bargain ulikuwa ni wizi, ujambazi wa kupora maduka ya kubadili fedha ulikuwa ni wizi.
Jambazi lilikuwa na wivu sana kwa private sector, lilidhani linaweza likaua private sector huku uchumi ukiendelea kukua. Sasa hivi mambo ni bambam labda kwa wale wavivu katika utafutaji ndiyo wanalialia.