Mwizi alikuwa yule muhamiaji wa Kihutu, Mayanga constructions ilikuwa ni kwa ajili ya wizi, pesa za plea bargain ulikuwa ni wizi, ujambazi wa kupora maduka ya kubadili fedha ulikuwa ni wizi.
Jambazi lilikuwa na wivu sana kwa private sector, lilidhani linaweza likaua private sector huku uchumi ukiendelea kukua. Sasa hivi mambo ni bambam labda kwa wale wavivu katika utafutaji ndiyo wanalialia.