McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
McDonaldJr anapotajwa DIAMOND acha kumtolea mfano na vitu vya ajabu.Angalia hii tofauti ;-Video akifanya Nuh Mziwanda bila kufuata hadithi ya wimbo malofa watalalama umu mwaka mzima kua video ni tofauti na yanayoimbwa ila leo nacheka malofa wale wale wako busy kusifia video ya Diamond ni nzuri kuna kipindi najiuliza malofa wanataka video ya aina gani,vijana mnaopenda muziki wa siku hizi mna kazi na matimu yenu maana leo ndio mmenichanganya kabisaaaaa kigezo cha video bora kwenu ni nini hasa kwiiii kwiiiii najaribu kufikiri Nuh Mziwanda angetoa video kama hii kwa ule wimbo wake kuhusu Shilole angetukanwa umu.
Katika jina la yesu PEPO la WIVU lenye mwendokasi likutoke mrembo.......nzuri mpendwa.
Sina nia ya ugomvi,ni utani tu tunafurahi siku zinaendelea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kama kuzungusha hata feni inazunguka sana...sijaona jipya kwenye nyimbo ya Diamond zaidi ya kuzungusha tu
Siku hizi tunataka video kali, kama kuimba hata bi cheka anaimba
Ya Drake inaitwa hotline bling, hiv video kali wewe unaangalia vigezo gani? Hotline bling sio video kali?hivi nyimbo bora kama HELLO ya Adele,Sorry Ya justin bieber ,call on my cellphone ya drake Hivi video zake zina ukari gani
ila sindio mayimbo yanayo bamba na kuwa na view wengi kwenye yotube mbona video za kawaida but ubora wa nyimbo ndio unaafanya view wengi.
Mambo zako NifahMbona kama ushapanic tayari?
Kwani vepeee?
Wema Chibu Bibi (Zari)wcb ndo nini
Waaai,Wimbo wenyewe kama Tangazo la Kifo!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] wcb
Hyo sorry haina video kabisahivi nyimbo bora kama HELLO ya Adele,Sorry Ya justin bieber ,call on my cellphone ya drake Hivi video zake zina ukari gani
ila sindio mayimbo yanayo bamba na kuwa na view wengi kwenye yotube mbona video za kawaida but ubora wa nyimbo ndio unaafanya view wengi.
Upo wewe nimekumiss misshahahahahahahahahahahah lol we hufai kwa kweli.
Hii imetosha kumfahamu diamond ni naniMcDonaldJr anapotajwa DIAMOND acha kumtolea mfano na vitu vya ajabu.Angalia hii tofauti ;-
-Familia nzima ni brand (bongo hakuna mwingine)
----Mtoto wake alipata ufadhili mkubwa.(haijawahi kutokea)
----Nyimbo zake ni za taifa,itajadiliwa mno na kuvunja rekodi zake mwenyewe (mfano hii)
-----Ni msanii aliyepata TUZO nyingi mno kwa Afrika mashariki kama si Afrika nzima.
-----Ni msanii aliyefanya Shoo nyingi mno E.A.
------Ni msanii anayependwa zaidi E.A.
------Ni msanii ambaye nyimbo zake zinachezwa zaidi E.A.
------Ni msanii ambaye LEBO yake ipo juu zaidi kuliko wote E.A.
------Ni msanii ambaye kaingia kwenye orodha kama mmoja wa Icon ya taifa.
------Watu wake wa karibu ni maarufu kuliko watu wa msanii yeyote E.A. kuanzia mameneja wake,Dancers wake, wapiga picha wake,Designer wake, Bodyguard wake,Mama yake, Dada zake, Baba yake, Mtoto wake na zaidi wapenzi wake.
-------Ukimtaka DIAMOND kibiashara utamkuta kwenye Boooonge la ofisi yake si Bar wala barabarani (hakuna kwa E.A)
--------Kaajiri vijana wengi sana zaidi ya 40+ (hakuna msanii mwingine E.A.)
--------Keshatoa michango/misaada mingi sana kwa mtu mmoja mmoja hadi vikundi (hakuna kwa bongo)
----------Ni msanii anayelipwa pesa ndefu E.A.(hakuna mwingine)
-----------Ni msanii mwenye ubalozi wa makampuni mengi na yenye pesa ndefu kuliko na haijawahi kwa msanii yeyote kwa E.A.
--------Ni msanii mwenye muonekano wa ki super star haswa sio kama muuza njugu wa Buguruni.
--------Atakapo tokea yeye ni lazima asababishe foleni na shuguli kusimama kwa muda kokote E.A.