Kwa hili Yusuph Manji atatisha

babu yake alikuwa fighter
huyu nadhani ni teja tu
hivi ana bznez gani huyu jamaa.?? Apart from quqlity blah blah
 
Mkuu inaonekana leo hujasuguliwa sawsawa, pole.

Hili jukwaa huwa hatupendi uhuni uhuni wa kutukanana kwa kificho cha ID za jinsia fake...

Huku heshima mbele kama tai...
 
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.

Kweli vipaumbele vinatofautiana!

Hayo ya Muhimbili mwambieni JK...

Tamko la Manji huko AU ni sehemu ya mchango wa serikali kupitia wafanyabiashara walikuwa msafara na Rais...
 
Hayo ya Muhimbili mwambieni JK...

Tamko la Manji huko AU ni sehemu ya mchango wa serikali kupitia wafanyabiashara walikuwa msafara na Rais...

Sioni mantiki ya kusaidia nje wakati ndani kwako kuna matatizo kibao!
 
Hivi wahisani wanapotoa misaada kwa serikali ya Tanzania,unadhani wananchi wao wote ni kama bill gates.marekani inatoa hela nyingi duniani kote lakini kuna wananchi wake hata nyumba za kukaa hawana,na wengine hata kula milo mitatu hawana uhakika
 
Kwa hili kachemka aisee,you must spend wisely...
 
Sioni mantiki ya kusaidia nje wakati ndani kwako kuna matatizo kibao!

Kutoa Msaada Sio Mpaka Uwe Bilionea, Unapoguswa Na Tatizo La Mtu Mwingine Unaweza Ukatoa Msaada Hata Hicho Hicho Kidogo Ulichonacho. "Usiwe Na Roho Ngumu
 
Sioni mantiki ya kusaidia nje wakati ndani kwako kuna matatizo kibao!

Usipoizuia hiyo Ebola huko West Africa kitachofuata ni kubisha hodi nchi zote za Africa...

Ziba ufa usije ukajenga ukuta...
 
Anaacha kusaidia nchi yake hapa katika matatizo hayo hayo ya kiafya anaenda kupeleka AU ili zikasaidie nchi zenye EBOLA ambazo Tanzania haimo.
Ni uamuzi wa kipuuzi tu na wala sina haja ya kuupongeza. Wangapi hapa wanakufa kwa Malaria? Wangapi wanakufa wakati wa kujifungua? Na bado watu wanamsifu Manji.
Mimi nitakuwa wa mwisho kumsifu katika jambo hili kwa sababu naona kaenda kufanya kwa kutaka sifa tu mbele ya viongozi wa Africa.
Ova
 
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.

Kweli vipaumbele vinatofautiana!

Anaogopa zitaishia kwenye matumbo ya wachache..
 
Poor people agaist one rich man!!!! Tunalalamika weee mwenye nazo upo kimya? Kwanza atakuwa anaambiwa tu huko jamii vijana wanabwabwaaaja, yeye anatabasamu tu, maana matajiri kucheka ni nadra. Vijana wazee tufanye kazi pesa ipo bongo hii hii, one day na wew usaidie masikini wa Tz, tuache maneno, penye moja pana mia moja, tuwekeze tutafika ni kujipanga tu, na kuweka mkazo kwa lengo ulitakalo.
 
labda ajenge uwanja analeta mbwembwe
 
Hapa Tanzania wamama hawana vifaa vya kujifungulia yeye anapeleka pesa nje ya nchi, bure kabisa huyo anatafuta sifa nje ya nchi!

Hela yake umpangie wewe. Hilo ni jukumu la Serikali yako ya kipumbavu
 
dola laki tano ni kama millioni 900 za kitanzania ingawa hela ni zake lkn tukio hili limenifanya niamini manji hana mapenzi ya kweli na yanga kwa miaka takriban miaka 3 chini ya uongozi wake yanga haina hta uwanja mazoezi na sasa anaondoka anaiacha vile vile alivyoikuta licha kuahidi mambo kibao ambayo ameshindwa kuyatelekeza still anagawa millioni900 kwa ajili ya ebola ambayo kwa kiasi kikubwa ishadhibitiwa
 
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.

Kweli vipaumbele vinatofautiana!

Sio vipaumbele bali ni kupenda sifa na kujionyesha kunakotofautiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…