Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....aseee pamoja na mambo yote hayo watu wa kala 5-0
Mkuu inaonekana leo hujasuguliwa sawsawa, pole.
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.
Kweli vipaumbele vinatofautiana!
Kweli watz tuna akili finyu sana!!!!
Hayo ya Muhimbili mwambieni JK...
Tamko la Manji huko AU ni sehemu ya mchango wa serikali kupitia wafanyabiashara walikuwa msafara na Rais...
Sioni mantiki ya kusaidia nje wakati ndani kwako kuna matatizo kibao!
Sioni mantiki ya kusaidia nje wakati ndani kwako kuna matatizo kibao!
Si bora angelitoa msaada pale Muhimbili kununulia dawa na vifaa tiba! Ama angeweza kulipia bima ya afya kwa familia masikini, ama angelinunua madawati kwa shule za Dar ambazo watoto wanakaa chini.
Kweli vipaumbele vinatofautiana!
Hapa Tanzania wamama hawana vifaa vya kujifungulia yeye anapeleka pesa nje ya nchi, bure kabisa huyo anatafuta sifa nje ya nchi!