Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
...Katika pita pita zangu mitandaoni nimeona hii Habari inayomuhusu mwenyekiti wa Yanga .Yusuph Manji...kutaka kuanzisha mashindano maalumu ya Kupambana na EBOLA...na yeye manji atatoa kiasi cha dola 500,000/=
..Kilichonifanya mpk kuleta hii mada hapa nikuwa wazo hilo limepelekwa moja kwa moja ..katika UMOJA WA AFRIKA AU...
...SOURCE..:
....SONDACOM
[h=2] YUSUF MANJI AONYESHA JEURI YA FEDHA, AMWAGA MILION 900 MBELE YA MARAIS WA AFRIKA [/h] Posted by edward michael On 10:46 PM | No comments
mfanyabiashara Yussuf Manji wiki iliyopita alikuwa sehemu ya msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete uliokwenda Addis Ababa, Ethiopia kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU).Na akiwa huko, milionea huyo mwenye asili ya Kiasia, ambaye bila ya yeye kwa sasa Yanga haipumui ametoa msaada wa dola za Kimarekani 500,000 kiasi cha Sh. Milioni...