wanahubiri mamlaka inachowaombaIshu ni kwamba hao wenye miliki za kufanya hivyo wanakula sahani moja na hao matapeli
Ndiyo waamke sasa waache kupigwa kizembeGonga kwenye chanzo.
Unajua chanzo cha unachotaka?
Gari, mke, ridhki, n.k
Chanzo hakipo karibu yako, mana ukaribu pia ni utengano. Chanzo kipo ndani yako, hapo hamna utengano.
Anayejua chanzo na namna ya kukitumia chanzo haoni wivu, gubu wala manung'uniko ya et fulani kapata.. fulani katumia sadaka zetu..fulani mbona hivi ..fulani mbona vile.
Kulalama na kunung'unika ni dalili ya upofu wa chanzo..huoni chanzo na kuukiri uhaba.
Sasa anza kuona kwa macho ya ndani kua unajitosheleza vema hadi akiba ipo.
Acha kuona wivu na kusimanga wengine kuhusu gari wanazopata, nyumba wanazopata au zaidi.
Yaani mpaka watu wafunguke akili ndio wataelewa.View attachment 3173038
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku anakupa points za kujitathmini na kujicrriticize ili ujione una mapepo na haukko katika mikono ya Mungu kikamilifu
Nimeamini hakuna miujiza ni utapeli mtupuCha ajabu ni kwamba maghorofa na ma range wananunua baada ya kuwa na waumini wengi.
Kwanini asitajirike kwanza ndipo afungue huduma ili tuione miujiza ya Mungu
Anunue mabenzi, ajenge mighorofa, anunue private jet then afungue kanisa hapo ewaaah.Nimeamini hakuna miujiza ni utapeli mtupu
Hahahahahahah
Alafu unakuta ww unaenda kwa mganga unaonekana mshamba zaidi hahha , duh haya maisha bwana ni wewe mwenyeweAnunue mabenzi, ajenge mighorofa, anunue private jet then afungue kanisa hapo ewaaah.
Sio aanze kufungua kanisa kibarazani kwake , avute muumini mmoja mmoja baadaye awe na ukwasi aanze kuwatukana waumini.
Shenzi
ni kazi sana kustukaYaani mpaka watu wafunguke akili ndio wataelewa.
Nabii anakwambia mchangie, yeye hataki kupaka mafuta apate hizo pesa
Mungu yupo ila hawa watumishi wengi ni matapeliHahahahahahah
Sadaka yako tangu uanze kutoa ingetosha magari mangapi?View attachment 3173038
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku anakupa points za kujitathmini na kujicrriticize ili ujione una mapepo na haukko katika mikono ya Mungu kikamilifu
huyo ni pasta wetu kiongozi. unasemaje?unataka huduma au?View attachment 3173038
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku anakupa points za kujitathmini na kujicrriticize ili ujione una mapepo na haukko katika mikono ya Mungu kikamilifu
Wanaotoa hizo sadaka wakiona kiongozi wào kanunua gari kali la mamilioni wanashangilia maombi yao yamejibiwa.View attachment 3173038
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo.
Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali kwa kulalamika
Ebu tuwe serious bana, nyie wote ni wasela ila yeye kawa mjanja zaidi yako. Kila siku anakupa points za kujitathmini na kujicrriticize ili ujione una mapepo na haukko katika mikono ya Mungu kikamilifu
Aliyekwambia magari yananunuliwa kwa sadaka ya mtu mmoja nani?Sadaka yako tangu uanze kutoa ingetosha magari mangapi?
Huenda na dawa pia manabii hutumia kuwapumbaza
WAKRISTO WAPUMBAVU WANAUJUMIANA WAO KWA WAO NA KUPOTEZEANA MUDA KISHA WATAKUJA KUSHANGAA MATAJIRI WOTE NCHINI NI WAISIHARAMU...MAANA WAISIHARAMU WAMEGUNDUA KUWA UTAJIRI UNAPATIKANA SERIKALI SIYO MISIKITINI WANACHO FANYA NI KUTUMIA MIANYA YA UPUMBAVU WA WAKRISTO WENYEWE KWA WAO KUJIZATITI SERIKALINI NA MBINU MBALIMBALI ZA KUJIZATITI SIASANI NA KWENYE MBINU ZA PPP...natabiri baada ya miaka michache hakutakuwa na tajiri mkristo mwenye utajiri wa maana na ajira nyingi zitatolewa na waislamu watakao kuwa wanamiliki uchumi wote nchini ....wakristo wana elimu nzuri ila upumbavu wa madhehebu ya dini umewafanya kupotea na elimu yao kuwa upumbavu unakuta msomi anashinda kwa mwamposa kila siku huyo msomi kasomeshwa shule za stant nini sijui ila kazi kubwa ni kushinda kwa mwamposa na gamanya na kiboko ya wachawi...WAKRISTO WAPUMBAVU WANADANGABYWA KIPUMBAVU NA KINA MWAMPOSA KUWA WASHINDE MAKANISANI KILA SIKU WAKATI HATA MUNGU WA BIBLIA AMESEMA WAZI WAZI KUWA SIKU 6 FANYA KAZI ISIPOKUWA MOJA TU NI YA BWANA MUNGU WAKO ...
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.View attachment 3173038