Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 306
- 706
- Thread starter
- #61
Hata kama nilitoa 100 imeoonganikana na mia nyingine za wenzangu hadi imefika milioni 400Aliyekwambia magari yananunuliwa kwa sadaka ya mtu mmoja nani?
Nabii akiona waumini hawawezi kumchangia anaachana na hiyo biashara.
Kwahio mchango wangu upo.