Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

Aliyekwambia magari yananunuliwa kwa sadaka ya mtu mmoja nani?
Nabii akiona waumini hawawezi kumchangia anaachana na hiyo biashara.
Hata kama nilitoa 100 imeoonganikana na mia nyingine za wenzangu hadi imefika milioni 400

Kwahio mchango wangu upo.
 
Mmewananga Kobazi now mmeanza kunangana wenyewe!!
Toa safaka mkuu acha ubahili..
Toa kwa ajili ya Mungu upate kufungukiwa.
 
Kwa sababu yeye ndiye kamtaja Mungu, mimi sijamtaja.

Anayeanzisha dai kwamba kuna Mungu ndiye mwenye burden of proof.kuthibitisha Mungu yupo kweli.
Okey ahsante, tusaidie points tatu tu fupi kuthibistisha Mungu ni batili. Karibu
 
Kwa sababu yeye ndiye kamtaja Mungu, mimi sijamtaja.

Anayeanzisha dai kwamba kuna Mungu ndiye mwenye burden of proof.kuthibitisha Mungu yupo kweli.
Sio kweli, yeye anaamini hivyo ni kazi ya wewe unayepinga kuprove. Ni sawa na kusema eti serikali thibitisheni kwamba Tanzania ni nchi au Ikulu ipo!!? Wakati wao wanaiona ipo!! Nani hapo atakua na burden of proof?
 
Hahahaha

Nimemuambia atusaidie hints tatu fupi za kuthibitisha kuwa Mungu ni batili ili sasa labda na sisi tunaoamini tushawishike
 
Hahahaha

Nimemuambia atusaidie hints tatu fupi za kuthibitisha kuwa Mungu ni batili ili sasa labda na sisi tunaoamini tushawishike
Huyu jamaa anajikuta intelligent sana wakati huwa anajifichia kwenye "thibitisha Mungu yupo". Ni sawa mimi nishtaki kuwa Stability ni fisadi alafu nikiulizwa ushahidi niseme mwambie Stability athibitishe yeye sio fisadi!!

Insanity
 
Okey ahsante, tusaidie points tatu tu fupi kuthibistisha Mungu ni batili. Karibu
Kwa kuanzia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

1. Epicurean paradox. The problem of evil. Mungu huyo kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na mabaya ni contradiction.

Ama Mungu huyo yupo na hakuna ulimwengu wenye mabaya, ama kuna ulimwengu wenye mabaya na Mungu huyo hayupo. Kuna ulimwengu wwnye mabaya, Mungu huyo hayupo.

2. Kuomba. Ukishaona una haja ya kuomba kitu kwa Mungu, huo ni uthibitisho Mungu huyo hayupo. Angekuwapo, angwkupa unachoomba kabla hujajua unakihitaji.

3. Maelezo mengi kwamba Mungu yupo kutoka dini mbalimbali yanayopingana, hata kwenye dini moja madhehebu mengi yanayopingana, hata kwenye dhehebu moja kitabu kimoja kina maelezo mengi yanayopingana. Mungu huyu angekuwepo angetupa namna ya kumjua ambayo haina utata wowotw, kwa mtu yeyote, popote.
 
💯
 
Sio kweli, yeye anaamini hivyo ni kazi ya wewe unayepinga kuprove. Ni sawa na kusema eti serikali thibitisheni kwamba Tanzania ni nchi au Ikulu ipo!!? Wakati wao wanaiona ipo!! Nani hapo atakua na burden of proof?
Hapana,

Burxennof prrof ipo kwa mtu anayesema kitu kipo.

Ndoyo maana polisi wakija kwako na kudai kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao ku prove kwamba kuna madawa ya kulevya, wanayatafuta mpaka wayapate.

Hawakwambii wewe unayesema kwako hakuna madawa ya kulevya u prove kwamba hayapo.

Kwa sababu, kwanza, kama hayapo una prove vipi kwamba hayapo? Nje ya kindaharaia proof by contradiction huwezi, kwa sababu concept ya proof inaendana na ku prove kikichopo zaidi ya kisichopo.

Polisi anayesema una madawa ya kulevya hakuambii u prove huna.

Yeye ndiye ana mzigo wa ku prove kuwa unayo.

Prove kwamba Mungu yupo.
 
Hiyo ndiyo hatari tena ndiyo inadhihilisha ninacho sema wanacho kifanya waislamu ni sawa na wanachokifanya wazanzibar dhidi ya watanganyika ni kulalamika sana kuwa wanapunjwa hata kama wao ndiyo wanufaika wakuu ....unajua nini maana yake ?hiyo ni trick ya hali ya juu sana kufikia wanacho kitaka ...ndiyo ichi nilicho kisema....tumia akili
 
Kwanini burden of proof unampa yeye na sio wewe u prove kuwa hayupo? Its that simple.
Uta prove vipi kitu ambacho hakipo?

Kitu ambacho hakipo, Huwezi kuki prove kwa namna yoyote ile, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika.

Ukisema kitu kipo, Ndio uthibitishe kipoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…