Kwa hio unataka kuniambia ni roho chafu na dhambi zangu ndio chanzo cha majanga yangu huku anaenihubiria amenunua gari kali kwa kutumia sadaka zangu!

Kumbe? Watalalamika hadi lini?

Upumbavu wa wakristo na wasio waislam ni upi? Inabidi wafanye nini?
Kulalamika ni trick tu...watalalamika mpaka watakapo pata wanacho kitaka kisha ndiyo watajifunua wazi kama alivyo jifunua kiboko ya wachawi
 
Hii mashine hata mkurugenzi wa hslmashauri sijawahi muona mmoja wao kanunua.
Tukiacha habari ya maombezi washkaji wapo smart. Unajua kumshawishi binadamu akupe 1/10 ya kipato chake sio rahisi. Wasiendekeze vitu vya anasa wanatikiwa waFanye investment, maana wahubiri nyota zao hhng'aas na kufifia na anaibuka mwingine.
Tujifunze jinsi ya kuchukua hela bila nguvu.
 
Kulalamika ni trick tu...watalalamika mpaka watakapo pata wanacho kitaka kisha ndiyo watajifunua wazi kama alivyo jifunua kiboko ya wachawi

Kwahiyo wakristo nao waache kwenda makanisani au wafanyaje? Maana wakienda mnasema wanapigwa.
 
Muumini akikosea anatengwa, mchungaji akikosea basi ni vita ya shetani na washirika wake. Waumini watamuombea na kumtetea balaa. Aaaah zisi laifu😭🤣
 
Kwahiyo wakristo nao waache kwenda makanisani au wafanyaje? Maana wakienda mnasema wanapigwa.
Mwanamuziki Don Williams katika wimbo wake wa I Believe in You kuna mstari anasema: Well, I don't believe that heaven waits for only those who congregate......
 
Chakula cha Mungu ni sala, kama unatoa hela juwa unatapeliwa.
 
Muumini akikosea anatengwa, mchungaji akikosea basi ni vita ya shetani na washirika wake. Waumini watamuombea na kumtetea balaa. Aaaah zisi laifu😭🤣
Hahahha umejuaje
 
Hahahahahahh
 
Kwahiyo wakristo nao waache kwenda makanisani au wafanyaje? Maana wakienda mnasema wanapigwa.
Tumia akili ....siku 6 fanya kazi moja tu ndiyo mambo ya mungu au mnadhani mungu wenu ni mpumbavu kuagiza hivyo
 
Ila haka ka investment ka kanisa kanalipa sana..naona watanzania ni wahanga wa mapepo hivyo ukipata watu wako 100 tuu umetoboa
 
Sadaka zenu bado hazitoshi huyo jamaa kuendesha Chuma Kama hicho
 
Wacrist tumelala mazima linapokuja suala la Imani yetu.

Tuamke tunawatajirisha manabii wa uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…