Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
NB: Mzaha uwe kando, chukulia ndo madogo zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili Tatizo ni Tatizo la mfumo wa piramid kwenye elimu yetu. Kila tukienda juu watu wanatakiwa wapungue. Huu mfumo mgumu sana na hauweki suluhu huyu anaepungua aende wapi. Mwishoni analaumiwa na kuambiwa afanye kazi nyingine.
Lakini china wako wengi na uchumi namba 2 duniani. Hili unalionajeHili Tatizo ni Tatizo la mfumo wa piramid kwenye elimu yetu. Kila tukienda juu watu wanatakiwa wapungue. Huu mfumo mgumu sana na hauweki suluhu huyu anaepungua aende wapi. Mwishoni analaumiwa na kuambiwa afanye kazi nyingine.
SULUHU: huu mfumo wa piramid usiwepo au tukontoo idadi ya watu. Hakuna nchi iliyoweza kukontoo idadi ya watu ikashindwa kuwapa maisha yenye SAPOTI KIUCHUMI hata kama hawna ajira. Nchi za Dunia y tatu hapo ndipo tulipokwama
Uchumi wa china umewin sana nje ya China. Na supplies population ya wachina Iko nje ya nchi. Viwandan viko china masoko yako nje ya China. Although uchumi wa mtu mmoja mmoja ndo wa kuungalia sana hapo mana ajira ni tatizo lakin mpango wa kulitibu unakosewa sabab ya mikakat kuishia ngazi ya mtu mmoja mmoja wakati Tatizo ni la jamii nzima.Lakini china wako wengi na uchumi namba 2 duniani. Hili unalionaje