Hili Tatizo ni Tatizo la mfumo wa piramid kwenye elimu yetu. Kila tukienda juu watu wanatakiwa wapungue. Huu mfumo mgumu sana na hauweki suluhu huyu anaepungua aende wapi. Mwishoni analaumiwa na kuambiwa afanye kazi nyingine.
SULUHU: huu mfumo wa piramid usiwepo au tukontoo idadi ya watu. Hakuna nchi iliyoweza kukontoo idadi ya watu ikashindwa kuwapa maisha yenye SAPOTI KIUCHUMI hata kama hawna ajira. Nchi za Dunia y tatu hapo ndipo tulipokwama