GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
UMENENA KWELI TUPU.Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kwama wewe hapo moja wapo.
Taifa lina watu wajinga sana nakumbia hawa ingekuwa ni hapo Jirani zetu hakuna hata mtu angekuwa na time nao, sasa njoo Bongo land yaani unakuta Mwanaume na Makende yake yuko busy na Mada za mara Mwijaku mara Haji manara sijui kafanyaje. Ujinga tupuUMENENA KWELI TUPU.
Subscribe what mtaalamu?Rafiki Angu Samahani Kwa Usumbufu, Naomba Unisaidie Ku Subscribe tu.
Sahihi mtaalamu.Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.
ila wakenya kwenye udaku ni kama wametuzidi hivi mkuuTaifa lina watu wajinga sana nakumbia hawa ingekuwa ni hapo Jirani zetu hakuna hata mtu angekuwa na time nao, sasa njoo Bongo land yaani unakuta Mwanaume na Makende yake yuko busy na Mada za mara Mwijaku mara Haji manara sijui kafanyaje. Ujinga tupu
Tapeli wa mapenziMpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingekata.
Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.
Sio kwa bongo hiiHuyu chawa atasagiwa kunguni hadi achanganyikiwe na hiyo mikataba ya matangazo imeisha leo
Kenya wametuzi siasa zao tu wanajitambua ila mambo mengine ni shithole kama tz ila wabongo hatujikubali.ila wakenya kwenye udaku ni kama wametuzidi hivi mkuu
Mambo ya ajabu sana.Taifa lina watu wajinga sana nakumbia hawa ingekuwa ni hapo Jirani zetu hakuna hata mtu angekuwa na time nao, sasa njoo Bongo land yaani unakuta Mwanaume na Makende yake yuko busy na Mada za mara Mwijaku mara Haji manara sijui kafanyaje. Ujinga tupu
Sio kwa bongo hii
Wale ni siasaila wakenya kwenye udaku ni kama wametuzidi hivi mkuu