Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Ni kweli,hizi agenda za kijinga zinazimaga agenda zenye akili so ni Bora kuwapuuza watu kama mwijaku na Mwarabu wa nguruka.Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.
Kila mmoja atachanganyikiwa Kwa wakati wake