😂Wapi swRafiki Angu Samahani Kwa Usumbufu, Naomba Unisaidie Ku Subscribe tu.
Mbona Kwa mange ipo, na ndo aliyeiweka full wengine wameichukua hukoHaya mambo yanasikitisha sana, ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania, huyo chawa sijui ni mtu wa aina gani? na hiyo video yenyewe sijui Iko wapi sasa?
Capitalist world watu wanatazama faida unayoleta.
Tabia zako binafsi hawana habari nazo.
Diamond ana skendo kibao ila anapaga dili kila siku
Mwaka juzi Mwijaku alishavujisha video yupo uchi kitandani na mwanamke Menina ila bado akazidi kupewa madili.
Kampuni zinatazama uwezo wako wa kazi
Mikataba itavunjiaka tu, siku akitoa video akimshona bimkubwa.Mpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.
Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.
Makelele mengi ya mama anaupiga mwingi kumbe ni linakula vitoto
😂😂😂😂😂Namzingua tuu...😂Wapi sw
KigamboniHivi huyu chawa uchwara atatia nia kugombea jimbo gani?
Mke wa mwijaku bila shaka ameshafanya kisasi mara nyingi sana ila haijajulikana ama mumewe amejua amekaa kimyaAmini nakuambia mke wa Mwijaku this time lazima akat.mbwe kulipiza kisasi! Malaya wenzangu mchangamkie fursa lazima ato.mbwe!!!!View attachment 3310441
Hana chibu atakuwa anapambana sana ili maadui zake wasimtegeDiamond ana naked video?
😀😀😀sasa mwija anatatizo?Mpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.
Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.
Makelele mengi ya mama anaupiga mwingi kumbe ni linakula vitoto
😀😀😀Wabongo akili zetu ni kufuatilia maisha ya watu tu!
Mara Mwijaku mara Hajia Manara mara Jux!yani vitu vya kijinga tu tunavopendaa..!
Uafrika ni laana,Mungu wabariki Wazungu…!
😀😀mind your bussness
Bro wajinga sio Watanzania wote, bali ni wale wanaowashobokea hao akina Mwijaku et al!Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.