Kwa hivi video za michepuko ya Mwijaku bado kampuni zitaendelea kufanya naye kazi



Diamond ana naked video?
 
Mikataba itavunjiaka tu, siku akitoa video akimshona bimkubwa.
 
Wabongo akili zetu ni kufuatilia maisha ya watu tu!
Mara Mwijaku mara Hajia Manara mara Jux!yani vitu vya kijinga tu tunavopendaa..!
Uafrika ni laana,Mungu wabariki Wazungu…!
 
😀😀😀sasa mwija anatatizo?
 
Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.
Bro wajinga sio Watanzania wote, bali ni wale wanaowashobokea hao akina Mwijaku et al!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…