Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Ni kweli,hizi agenda za kijinga zinazimaga agenda zenye akili so ni Bora kuwapuuza watu kama mwijaku na Mwarabu wa nguruka.Wabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.
Sijui kwa nini baadhi ya watz wanashabikia vitu visivyo na maadiliBro wajinga sio Watanzania wote, bali ni wale wanaowashobokea hao akina Mwijaku et al!
Daa Kuna siku tutatawaliwa na wanyarwanda sema itakuwa pouwa maana CCM washaiozesha nchiWabongo kila kukicha Mwijaku mara Haji Manara, Hawa wajinga nyie wabongi wajinga ndio mnawapa Air time, ingekuwa ni Kenya au Uganda au Rwanda wasingesikika kabisa, Hawa wanasika kwenye Taifa lilo jaaa wajinga kama wewe hapo moja wapo.
Umeonae? Wao wenyewe ndio wanaowashobokea halafu wanashangaa eti imekuwaje akina Mwijaku ni maarufu!! Kwani wangeliwapuuzia si wangeliacha?Sijui kwa nini baadhi ya watz wanashabikia vitu visivyo na maadili
Na watu kama hao wanashobokewa sana. Kama wangepuuzwa basi wangekosa nguvu. Wanatuharibia Vizazi vya Taifa la Kesho.Umeonae? Wao wenyewe ndio wanaowashobokea halafu wanashangaa eti imekuwaje akina Mwijaku ni maarufu!! Kwani wangeliwapuuzia si wangeliacha?
Kweli kabisa!Na watu kama hao wanashobokewa sana. Kama wangepuuzwa basi wangekosa nguvu. Wanatuharibia Vizazi vya Taifa la Kesho.
Sijui tufanye nini kwa kweli. Maana siku zinavyokwenda Taifa litakuwa na vijana wenye mchango mdogo sio tu kwenye uchumi bali pia kimaadiliKweli kabisa!
Lulu hakuna underage broo...a year before 2011 alifanya bonge la part la kutimiza miaka 18,wahenga tunakumbuka na aliandikwa kwenye magazeti,halafu mwenzi mmoja kabla ya kifo Cha kanumba alifanya mahojiano na salama yeye Kwa kinywa akakiri kua ana miaka 18,usanii ulitumika kumshusha umri ili Sheria zisimtie hatiani maana aliyekufa kafa hakuna namnaSisi hatuna mifumo mizuri ya kusaidia wanawake au wanaume.
Mfano kanumba alikuwa anafanya ngono na Lulu while , alikuwa under age .
Na bado aliposukumwa akafa serikali ikamfunga .Lulu
Usiwalaunu wabongo sababu ni mfumo wa CCM umewafanya kuwa katika hali hii.Wabongo akili zetu ni kufuatilia maisha ya watu tu!
Mara Mwijaku mara Hajia Manara mara Jux!yani vitu vya kijinga tu tunavopendaa..!
Uafrika ni laana,Mungu wabariki Wazunguβ¦!
Dawa tuwe kama Mzee Kifimbo Cheza! Tuwashenyente bakora tu!Sijui tufanye nini kwa kweli. Maana siku zinavyokwenda Taifa litakuwa na vijana wenye mchango mdogo sio tu kwenye uchumi bali pia kimaadili
Ngoja nikuulize pia swali fikirishi Mwijaku apate au asipate makampuni ww unapunguza nn katika Maisha yakoMpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.
Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.
Makelele mengi ya mama anaupiga mwingi kumbe ni linakula vitoto
Lulu hakuna underage broo...a year before 2011 alifanya bonge la part la kutimiza miaka 18,wahenga tunakumbuka na aliandikwa kwenye magazeti,halafu mwenzi mmoja kabla ya kifo Cha kanumba alifanya mahojiano na salama yeye Kwa kinywa akakiri kua ana miaka 18,usanii ulitumika kumshusha umri ili Sheria zisimtie hatiani maana aliyekufa kafa hakuna namna
Samahani kwa kurekebisha
ππππhii ndio dawaDawa tuwe kama Mzee Kifimbo Cheza! Tuwashenyente bakora tu!
Wanafunzi wa chuo ni watoto!. ifike hatua tukubaliane na ukweli kwamba mwanamke mmoja hawezi kutosheleza haja za mwanaume kwaiyo kuliko wanaume kucheat na kuvunja familia zao kama jamii tunatakiwa tu ku-normalize suala la kuoa wake wengi. Biology haitambui huo ustaarabu wa mke mmoja tulioletewa na wazunguMpaka hivi muda huu pasaka inaishia ingekuwa Nchi zinazojielewa kama ulaya na USA mwijaku sahivi angejitokeza kuomba radhi na deals zote za makampuni zingevunja mikataba nae.
Lakini kwakuwa tupo matakoni mwa dunia chawa ananguvu kuliko proffesa itaisha juu kwa juu.
Makelele mengi ya mama anaupiga mwingi kumbe ni linakula vitoto