polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio!
Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili muendelee kufanya siasa pekeyenu,
Kifupi ni kwamba watanganyika wa sasa si wale wa zamani wa iyena iyena na ndio maana mnatumia nguvu sananhata kuita watu kwemye mikutano yenu watu wanaelewa sana na mbali tu ya kuelewa wanaona uhalisia ujinga wenu wote wanaona
Soma Pia:Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu
Kubalini tu kuwa nyakati zimesha waacha badilikeni ili muende sawa na nyakati, msiendelee kuamini kuwa bado nyakati zimesimama.