kuzuia mikutano ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ahmed Kombo: Waziri Katambi kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi

    Mwanaharakati Ahmed Kombo, ameahidi kutoa zawadi ya Mbuzi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ikiwa ni pongezi baada ya hatua ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa "Waziri kitendo cha kufungia mikutano ya siasa, mimi nakutafutia zawadi ya mbuzi. Niko tayari kukabidhi zawadi...
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo CCM mnazuia mikutano ili mfanye siasa kwa uhuru kupitia ziara mtakazoziita za Kiserikali?

    Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi sio! Kujifanya waziri mkuu yupo ziara, mara sijui raisi yupo ziara,makamu wa rais yupo ziara ili...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu ambapo tunatafuta maridhiano na Dunia inatuangalia kupitia yale yaliyotokea, sio vyema kuzuia shughuli za kisiasa

    Nchi inapitia katika wakati mgumu sana badala ya kutafuta suruhisho kwa matatizo yaliyojitokeza sisi tunaanzisha mengine. Hivi nchi Haina wazee au washauri wazuri wa serikali. Kama wapo basi hawaitakii mema serikali na kiongozi wake. Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya...
Back
Top Bottom