Kwa hiyo dogo aliyetutusi wananchi karejea tena?

Kwa hiyo dogo aliyetutusi wananchi karejea tena?

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Haya basi sawa karibu nyumbani mdogo wetu, ila this time ukiondoka usituoneshe dole la kati wananchi please [emoji1488][emoji26]

IMG_6954.jpg
 
Afadhali mmemrudisha mchezaji shabiki kindakindaki wa mnyama
 
Kwahyo mshery atakuwa anafanya nn.. au kula pesa za Bure, Duuuh hiz Timu zetu hzi
.!!
 
Tuache kuwalaumu wachezaji kila siku uongozo wa timu ndio unakuaga chanzo cha yote yanayotokea wao wanafanya kulipa tu.
 
Nadhani wamemchukua baada ya Mshery kupata majeraha
Siasa za mpira nchi hii ni ngumu sana. Mshery ni majeruhi, timu inahitaji kipa mzuri zaidi ya Johora ambaye ni majikupwa majikujaa. Ni kweli alichofanya Metacha si sahihi japokuwa kumbukumbu zangu zinaonyesha kama aliwahi kuomba msamaha. Mpira ni ajira kwa hiyo ni vema wachezaji wetu pia wakajifunza kutonyea kambi.
 
Yeah.... well said.
 
Back
Top Bottom