Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa pembeni ya mwiko°Metacha ni bonge la kipa, Msheri binafsi simuelewi.
°kwani Hilo dole lake limekuingia wapi?
Mmh ulishalinganisha magoli anayofungwa Metacha na Mshery kweli?!°Metacha ni bonge la kipa, Msheri binafsi simuelewi.
°kwani Hilo dole lake limekuingia wapi?
°metacha ni geniusMmh ulishalinganisha magoli anayofungwa Metacha na Mshery kweli?!
Kunywa sumu ufe kama uliumizwa sana na hayo matusi aliyo kutukana.Haya basi sawa karibu nyumbani mdogo wetu, ila this time ukiondoka usituoneshe dole la kati wananchi please [emoji1488][emoji26]
View attachment 2482886
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu mnamajibu..loh!!Itakuwa pembeni ya mwiko
Msheri uhakika Sana ,huyu kawa ovyo sana°Metacha ni bonge la kipa, Msheri binafsi simuelewi.
°kwani Hilo dole lake limekuingia wapi?
Siasa za mpira nchi hii ni ngumu sana. Mshery ni majeruhi, timu inahitaji kipa mzuri zaidi ya Johora ambaye ni majikupwa majikujaa. Ni kweli alichofanya Metacha si sahihi japokuwa kumbukumbu zangu zinaonyesha kama aliwahi kuomba msamaha. Mpira ni ajira kwa hiyo ni vema wachezaji wetu pia wakajifunza kutonyea kambi.Nadhani wamemchukua baada ya Mshery kupata majeraha
Atacheza tu, mechi zipo nyingiKwahyo mshery atakuwa anafanya nn.. au kula pesa za Bure, Duuuh hiz Timu zetu hzi
.!!
Yeah.... well said.Siasa za mpira nchi hii ni ngumu sana. Mshery ni majeruhi, timu inahitaji kipa mzuri zaidi ya Johora ambaye ni majikupwa majikujaa. Ni kweli alichofanya Metacha si sahihi japokuwa kumbukumbu zangu zinaonyesha kama aliwahi kuomba msamaha. Mpira ni ajira kwa hiyo ni vema wachezaji wetu pia wakajifunza kutonyea kambi.