Mkuu umbwa siku hizi wanaongea???!Unamjadili mtu ambaye hashikiki japo kalala milele!!
Hao 600 Wana thamani kubwa kuliko Mbwa mmoja anayelipwa Januari kumtukana viongozi
Mkuu yetu macho, Mwendokasi Doom loading...........Huo ni mradi kichaa wa watu wenye IQ ndogo. Reli ya kati ni muhimu kuliko SGR kiuchumi. Ilitakiwa ifanyiwe ukarabati na maboresho iweze kubeba mizigo mingi zaidi na hata ingeongezwa mtandao kuweza kufungua nchi zaidi. Reli ya kati inabeba malighafi, mazao ya kilimo, mafuta, finished products na wasafiri. Mizigo ya Congo yote hii tungeweza kuiondoa kwenye maroli yanayoleta foleni na kuharibu barabara kwa kuiwezesha reli ya kati.
SGR inabeba wazurulaji wa sifa kwa muda mfupi, baadae logic ya uwepo wake itakosa. Treni inabeba watu ambao wangepanda mabasi 6 tu.
Reli kibiashara siku zote yake mizigo, sio kubeba wasafiri. Nauli zenyewe za kulialia hizi ndio wanunue viberenge, mataruma, wafanye ukarabati mvua ikinyesha, waibe humo watumishi, walipwe mishahara, walipe ruzuku, walipe deni la kujenga mradi na riba yake.
📝✍️👍👌👊👏🤝🙏🎁🛡️Huo ni mradi kichaa wa watu wenye IQ ndogo. Reli ya kati ni muhimu kuliko SGR kiuchumi. Ilitakiwa ifanyiwe ukarabati na maboresho iweze kubeba mizigo mingi zaidi na hata ingeongezwa mtandao kuweza kufungua nchi zaidi. Reli ya kati inabeba malighafi, mazao ya kilimo, mafuta, finished products na wasafiri. Mizigo ya Congo yote hii tungeweza kuiondoa kwenye maroli yanayoleta foleni na kuharibu barabara kwa kuiwezesha reli ya kati.
SGR inabeba wazurulaji wa sifa kwa muda mfupi, baadae logic ya uwepo wake itakosa. Treni inabeba watu ambao wangepanda mabasi 6 tu.
Reli kibiashara siku zote yake mizigo, sio kubeba wasafiri. Nauli zenyewe za kulialia hizi ndio wanunue viberenge, mataruma, wafanye ukarabati mvua ikinyesha, waibe humo watumishi, walipwe mishahara, walipe ruzuku, walipe deni la kujenga mradi na riba yake.
Mkuu uislamu umeingiaje na unahusikaje kwenye hii hoja, fafanua vizuri.mkiambiwa waislamu wa tanzagiza ni tatizo mnasema sijui udini ona sasa reasoning yao. sababu kuu za kujengwa kwa reli siyo kusafirisha abiria bali mizigo, hapo ndipo fedha ilipo abiria ni huduma tu na hauwezi kuendesha reli kwa kwa nauli ya abiria.
ndiyo maana kulikuwa na mpango kujenga bandari kavu. Mna low iq sana ndio maana hata mwendokasi mmeua hata hii treni mtaua pia kwa maana hamuelewi how things work …
Mkuu ukizingatia ukweli kwamba kwa tabia na hulka zetu za usimamizi mbovu wa rasilimali na taasisi zetu, uwezekano wa huu mradi kulipa ni ndoto ya Abunuasi kama sio Alinacha!!!Unaweza tupia hapa hesabu je kwa mapata ya 5m ukizingatia hiyo bado si faida, itatuchukua miaka mingapi kurudisha 2.7 tril kulipa madeni na kupata mapato ya kuendesha serikarli
Mkuu kahoji vizuri, hoja yake ina mashiko. Jibu hoja yake sio kumshambulia na kumtukana mto hoja.Wewe ni pumbavu. Take it that way. Umekuwa ukijitutumua humu against the idea, lkn wewe ni shenzi. What is abood to public service under government support? Utatumika hadi lini?
Watu wa mabas mmeanza kulia mapema sana ndo kwanza safari ya kwanzaNajiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Haya ndio matatizo ya utandawazi mkuu.Mleta mada atakuwa ameenda vidato kabisa, yaani kwao ndio think tank ya familia.
Embu taja kipaumbele chako!Ni upotevu wa fedha na kukosa kujua vipaumbele vitakavyoleta maendeleo
Yule alikuwa mwanaume chuma ya mjerumani....kauli Moja mnaufyata from juu to chini hata kama alikuwa na madhaifu mama mwenyewe alikiri viatu havimtoshi rest in peace ChumaHuyo muuza furu na maziwa?
My badIwe bhojo
Trillion inaonekana nyingi sasa lakini miaka 20 ijayo ni pesa ndogo sana, hii reli itakaa for the next 100 years na zaidi na inaweza kupanuliwa pia, JPM alifanya investment nzuri na asingefanya hizo trillion mbili zingeishia chooni tuu Kwa mafisadi, siasa za JPM zilikuwa za ovyo sana lakini huu ni upande wake mzuri, na bwawa la Nyerere ule ni uamuzi mzuri sana na utasaidia uchumi wa nchi kukua sana miaka ijayo
Kwa akili yako unafikiri itaishia Moro hiyo mpaka Congo mwehu wwNajiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?