Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Unamjadili mtu ambaye hashikiki japo kalala milele!!

Hao 600 Wana thamani kubwa kuliko Mbwa mmoja anayelipwa Januari kumtukana viongozi
Mkuu umbwa siku hizi wanaongea???!
 
Huo ni mradi kichaa wa watu wenye IQ ndogo. Reli ya kati ni muhimu kuliko SGR kiuchumi. Ilitakiwa ifanyiwe ukarabati na maboresho iweze kubeba mizigo mingi zaidi na hata ingeongezwa mtandao kuweza kufungua nchi zaidi. Reli ya kati inabeba malighafi, mazao ya kilimo, mafuta, finished products na wasafiri. Mizigo ya Congo yote hii tungeweza kuiondoa kwenye maroli yanayoleta foleni na kuharibu barabara kwa kuiwezesha reli ya kati.

SGR inabeba wazurulaji wa sifa kwa muda mfupi, baadae logic ya uwepo wake itakosa. Treni inabeba watu ambao wangepanda mabasi 6 tu.

Reli kibiashara siku zote yake mizigo, sio kubeba wasafiri. Nauli zenyewe za kulialia hizi ndio wanunue viberenge, mataruma, wafanye ukarabati mvua ikinyesha, waibe humo watumishi, walipwe mishahara, walipe ruzuku, walipe deni la kujenga mradi na riba yake.
Mkuu yetu macho, Mwendokasi Doom loading...........
 
📝✍️👍👌👊👏🤝🙏🎁🛡️
 
mkiambiwa waislamu wa tanzagiza ni tatizo mnasema sijui udini ona sasa reasoning yao. sababu kuu za kujengwa kwa reli siyo kusafirisha abiria bali mizigo, hapo ndipo fedha ilipo abiria ni huduma tu na hauwezi kuendesha reli kwa kwa nauli ya abiria.

ndiyo maana kulikuwa na mpango kujenga bandari kavu. Mna low iq sana ndio maana hata mwendokasi mmeua hata hii treni mtaua pia kwa maana hamuelewi how things work …
Mkuu uislamu umeingiaje na unahusikaje kwenye hii hoja, fafanua vizuri.

Uislamu unahusikaje kwenye kuua mabasi ya mwendekasi???

Tueleweshe Mkuu!!!
 
Unaweza tupia hapa hesabu je kwa mapata ya 5m ukizingatia hiyo bado si faida, itatuchukua miaka mingapi kurudisha 2.7 tril kulipa madeni na kupata mapato ya kuendesha serikarli
Mkuu ukizingatia ukweli kwamba kwa tabia na hulka zetu za usimamizi mbovu wa rasilimali na taasisi zetu, uwezekano wa huu mradi kulipa ni ndoto ya Abunuasi kama sio Alinacha!!!
 
Wewe ni pumbavu. Take it that way. Umekuwa ukijitutumua humu against the idea, lkn wewe ni shenzi. What is abood to public service under government support? Utatumika hadi lini?
Mkuu kahoji vizuri, hoja yake ina mashiko. Jibu hoja yake sio kumshambulia na kumtukana mto hoja.
 
Unamjadili mtu ambaye hashikiki japo kalala milele!!

Hao 600 Wana thamani kubwa kuliko mmoja anayelipwa Januari kumtukana viongozi
Mkojo, umeelewa hoja ?
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Watu wa mabas mmeanza kulia mapema sana ndo kwanza safari ya kwanza

Moja rekebisha
Kwa siku inafanya safar 4
600*4=2400
Kama kwa siku itabeba abiria 2400 kwa mwezi ni abiria 72,000*14000 naul =1008,000,000

Matumiz na gharama za uendeshaji mtatoa badaye

Hapo ni moro dar
Sijafika dodoma

Badilisha mtazamo
 
Wewe ni pumbavu. Take it that way. Umekuwa ukijitutumua humu against the idea, lkn wewe ni shenzi. What is abood to public service under government support? Utatumika hadi lini?
Lushindo lwako, mnambiti ebhe
 
Huyo muuza furu na maziwa?
Yule alikuwa mwanaume chuma ya mjerumani....kauli Moja mnaufyata from juu to chini hata kama alikuwa na madhaifu mama mwenyewe alikiri viatu havimtoshi rest in peace Chuma
 
Kuna vitu faida yake huwezi iona leo wala kesho .....

Kama barabara ya morogoro road nadhani ina muda mrefu tangu kujengwa kwake na natumaini kwa kipindi icho kulikua na mtu pengine alikua na wadhifa fulani serikalini .....
Ila alikua na mawazo finyu kama yako mtoa maada.

Ashakum si matusi.
 
Sorry nje ya mada kidogo,

Fun fact: Unajua watu wanao ongoza kuzuia milango ya mwendokasi ni wasomi wenye degree😅
 
Hizo pesa ni mkopo kutoka Uturuki. Alafu kumbuka kuna .
Maintenance cost ya hiyo reli pamoja na treni.

Mleta mada ana hoja nzuri sana. Inawezekana tu hajaiweka vizuri ila anachomaanisha kama target yetu ni kubeba abiria tena kwa speed hii ya treni na bei hizi zilizowekwa huu ni white elephant project ( Mradi ambao hautakuja kuleta faida yeyote zaidi ya hasara kwa nchi)
Trillion inaonekana nyingi sasa lakini miaka 20 ijayo ni pesa ndogo sana, hii reli itakaa for the next 100 years na zaidi na inaweza kupanuliwa pia, JPM alifanya investment nzuri na asingefanya hizo trillion mbili zingeishia chooni tuu Kwa mafisadi, siasa za JPM zilikuwa za ovyo sana lakini huu ni upande wake mzuri, na bwawa la Nyerere ule ni uamuzi mzuri sana na utasaidia uchumi wa nchi kukua sana miaka ijayo
 
Back
Top Bottom