Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Nadhani SGR inaweza kubeba mizigo pia. Ni suala la mipango tu ya hapo baadaye.
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Kiufupi huu ni uwekezaji wa kupigia picha,next year mtasikia wimbo mzuri zaidi kutoka Kwa CAG ukielezea hasara.

Hakuna namna gharama zitarudi maana hata mzigo wa kusafirisha hakuna .

Unaitwa cosmetic project.Serikali itakapoendelea kupandisha Kodi Ili mlipie kuendesha hiyo Sgr msije kutukana Mwigulu na Samia 😂😂
 
Nadhani SGR inaweza kubeba mizigo pia. Ni suala la mipango tu ya hapo baadaye.
Walioijenga kila siku wanapigia upatu safari za abiria. Ni kama ambavyo reli ya Kaskazini itakuwa inakufa na kuachwa sana, haina mizigo ya kulazimika iwepo reli. Kubeba abiria wengi na mizigo michache kunafanya reli ya Kaskazini ikose umuhimu.
Sasa reli inaenda Arusha kubeba mizigo gani ya maana kule.
 
Acha udini kijana...
Huyo ni Mtanzania na ameleta mada kama Mtanzania na si kama Muislamu.

Tumia akili akili acha kukurupuka....
 
Mkuu sio kwamba wewe ndiyo uko na poor reasoning capacity maana unaingizia suala la Waislamu kwenye uzi ambao hauna hata chembe ya maudhui ya kidini.

Ungemjibu mleta hoja kulingana na alichouliza kuliko kutoka nje kabisa ya mada.
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Magufuli alikuwa siyo kiongozi mzuri hata kidogo. Ila kwenye treni mimi naona alifanya vizuri. Kwani kinachofanya treni iwe na umuhimu kwa nchi nyingi ni kasi tu? Kama ni kasi mbona ndege ndiyo sahihi? Treni ina uwezo wa kusafirisha vitu in bulky na vikiwa na uzito mkubwa, kwa haraka na nafuu zaidi kuliko barabara au anga. Pia in a long run, maintance na cost ni ndogo. Kna vipengele vingi sana, kama usalama, uchafuzi wa mazingira yaani naweza kuandika essay ndefu kabisa kuonyesha kuwa usafiri wa reli ni bora kuliko barabara kwa ujumla
 
Kwahiyo trc hawana business continuity plan?
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?

Hoja tunduizi inayotakiwa wana wa JF tuijadili kwa hoja bila mihemko wala mirengo ya kisiasa.

Nchi za wenzetu utaona pembezoni kuna ma viwanda makubwa kwa vidogo, mashamba makubwa ya nafaka na matunda, ranchi kubwa za mifugo ya kisasa kusafirisha mazao na bidhaa zinazozalishwa kwenda miji kadhaa iliyounganisha na mfumo wa reli pia hata kufafirishwa nje ya mipaka ya nchi zao.

Je kwetu Tanzania reli hii mpya ya SGR inayoendelea kujengwa itapita maeneo yote huku hakuna vitu vya kuvisafirisha siyo tu ndani ya miji yetu iliyo pembezoni bali hata nje ya mipaka. Na je ni viwanda vingapi vimepewa leseni kimkakati kuwa na maeneo pembezoni kabisa ya reli, je mashamba makubwa ya ekari maelfu ya kilimo cha kisasa cha nafaka mangapi yamepewa maeneo pembezoni mwa reli, ranchi kubwa za maelfu ya mifugo tayari yameainishwa kuanzishwa n.k
 
We kilaza kweli sasa hiyo ni tripu moja ambayo imeingiza zaidi ya 5M
Hauwezi kuingiza faida kwa kusafirisha watu faida inakuja kwa kusafirisha bidhaa na makontena. Nchi ambazo zinaweza kuhudumiwa na SGR wana uwwezowa kuchagua kuhudumiwa na bandari ya mombasa. Bora SGR ingejengwa Dar to Zambia, hii ingeleta faida zaidi. Sasa unaleta faida ya dola 1800 katika mradi wa 2 billion USD. Ni sawa uwekeze Tshs 1 billion kwenye biashara upate faida ya 1000 kwa trip.
 
Magufuli IQ yake si ya kujadiliwa na vilaza na matapeli
Km wehu wana IQ kubwa basi nawe na mwenzie. IQ yake ni kutuharibia nchi yetu? Alikuwa fisadi asiyejadiliwa na bunge. Ule uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato ambao sahivi unaanikiwa dagaa ndiyo IQ kubwa? Na vp ile hospitali kubwa ya rufaa ya kitalii? Hata daraja la Kigongo-Busisi ni ufisadi, mradi usikuwa na umuhimu, bunge halikushirikishwa. Alipasua nchi, yule alikuwa shwetwani, ashukuriwe Mungu wa mbinguni
 
Mkuu ukizingatia ukweli kwamba kwa tabia na hulka zetu za usimamizi mbovu wa rasilimali na taasisi zetu, uwezekano wa huu mradi kulipa ni ndoto ya Abunuasi kama sio Alinacha!!!
Serikali haifanyi biashara yenyewe inatoa uduma,ili mwananchi wake apate liziki pasipo kuangaika sana, Sasahivi mtu unaweza ishi Morogoro na ukafanya Dar pasipo usumbufu wowote,mtu aweza kusafirisha bidhaa zake kwa bei ya cheap na kumfikia mlaji kwa wakati na kwa bei nafuu, kuliko bidhaa zivyokuwa zinasafishwa kwa maroli na mabasi,hilo ndilo jukumu la Serikali kujenga miundombinu imala kwa ajili ya watu wake ili wapate kutafuta riziki kwa wepesi.
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Usafiri wa treni ni WA gharama ndogo kuliko malori na mabasi.
Ikifika Mwanza ndizi za Bukoba zitafika Mabibo siku hiyo hiyo na bei itashuka.
Meku London New York wanatumia treni badala ya Daladala au Mwendokasi jiulize kwa nini.
Mwisho we kuna rafiki zangu wenyeji wa Mkoa wa Kagera hawajaenda nyumbani miaka 15 sasa sababu ya nauli kwenda na kurudi, ila kwa treni watafika Mwanza kwa bei rahisi.
Simple economics
 
Mkuu uislamu umeingiaje na unahusikaje kwenye hii hoja, fafanua vizuri.

Uislamu unahusikaje kwenye kuua mabasi ya mwendekasi???

Tueleweshe Mkuu!!!

unafikiri nani kaua mwendokasi? it used to function vizuri tu kabla, nakumbuka wengi walikuwa excited na mwendokasi mpaka foreigners walikuwa wanakuja kujifunza how to run mwendokasi, sasa hivi wameua na hata SGR kama msipopiga kura vizuri 2025 wataua pia kwani ushahidi uko wazi hawaelewi hata kwa nini SGR au lengo la SGR lilikuwa ni nini …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…