Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
images (59).jpeg.jpg
 
Huo ni mradi kichaa wa watu wenye IQ ndogo. Reli ya kati ni muhimu kuliko SGR kiuchumi. Ilitakiwa ifanyiwe ukarabati na maboresho iweze kubeba mizigo mingi zaidi na hata ingeongezwa mtandao kuweza kufungua nchi zaidi. Reli ya kati inabeba malighafi, mazao ya kilimo, mafuta, finished products na wasafiri. Mizigo ya Congo yote hii tungeweza kuiondoa kwenye maroli yanayoleta foleni na kuharibu barabara kwa kuiwezesha reli ya kati.

SGR inabeba wazurulaji wa sifa kwa muda mfupi, baadae logic ya uwepo wake itakosa. Treni inabeba watu ambao wangepanda mabasi 6 tu.

Reli kibiashara siku zote yake mizigo, sio kubeba wasafiri. Nauli zenyewe za kulialia hizi ndio wanunue viberenge, mataruma, wafanye ukarabati mvua ikinyesha, waibe humo watumishi, walipwe mishahara, walipe ruzuku, walipe deni la kujenga mradi na riba yake.
 
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom