Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Kwa hiyo JPM alijenga reli ya Dar-Moro kwa trilioni 2.7, ili ibebe abiria 600 ambao walikuwa na mbadala wa kupanda Abood na treni ya kawaida?

Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Akil huna,,ulitaka relief ya kati ipite angani iruke morogoro?
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Kwa akili hizi acha mbowe awatawale wajinga nyie kwamba imekwenda leo tu tena mara moja,ona ilivyo kiazi

USSR
 
mkiambiwa waislamu wa tanzagiza ni tatizo mnasema sijui udini ona sasa reasoning yao. sababu kuu za kujengwa kwa reli siyo kusafirisha abiria bali mizigo, hapo ndipo fedha ilipo abiria ni huduma tu na hauwezi kuendesha reli kwa kwa nauli ya abiria.

ndiyo maana kulikuwa na mpango kujenga bandari kavu. Mna low iq sana ndio maana hata mwendokasi mmeua hata hii treni mtaua pia kwa maana hamuelewi how things work …
 
Najiuliza tu, trilioni karibu nne! Kasi ya treni ilitafutwa ili mikoani wapeleke nini Dar, ambacho awali kilikuwa kinachelewa kufika?
Wewe ni pumbavu. Take it that way. Umekuwa ukijitutumua humu against the idea, lkn wewe ni shenzi. What is abood to public service under government support? Utatumika hadi lini?
 
😂😂😂 chama cha mambuzi uaneni tu,battle chawa team 🆚 sukuma ngang 😂
 
Trillion inaonekana nyingi sasa lakini miaka 20 ijayo ni pesa ndogo sana, hii reli itakaa for the next 100 years na zaidi na inaweza kupanuliwa pia, JPM alifanya investment nzuri na asingefanya hizo trillion mbili zingeishia chooni tuu Kwa mafisadi, siasa za JPM zilikuwa za ovyo sana lakini huu ni upande wake mzuri, na bwawa la Nyerere ule ni uamuzi mzuri sana na utasaidia uchumi wa nchi kukua sana miaka ijayo
 
Nchi hii wangenyongwa wanasiasa wahujumu Uchumi hata 100 tu hadharani,

Tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom