Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?