Kaka USSR umeshaenda kwenye msiba wa mwenzenu Hamza??Hata gaidi mbowe ni mwanayanga
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka USSR umeshaenda kwenye msiba wa mwenzenu Hamza??Hata gaidi mbowe ni mwanayanga
USSR
Weledi wa Kitanzania weledi wa washika mtutu wetu, hapa shida ni kupigania matumbo ya wachache na kwa maslahi ya wachache. Ila ubaguzi huu ndio sababu ya tunayoyaona yakitokea hata kwa hofu au kwa weledi wakitanzania tunabambikiana na kunyanyasana ndani ya taifa letu.Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Hatari sanaIdadi ya maambukizi hapo itakuwa ni kuyatisha na hii delta variant speed yake ya kuchukua uhai ni balaa. Tuombe Mwenyezi Mungu idadi ya vifo hasa Dar isiongezeke.
Noma sanaTz ina bahati mbaya sana kweye suala la uongozi.
Udhaifu kwenye uzingativu wa sheria na katiba iliyorisiwa kwa mkoloni,tunataka katiba mpya, inayokwamishwa na Wana ccm wa taifa hili kwa hofu yauyapoteza maslahi wanayoyapata kutokana na katiba ya sasa, ambayo ndani yake wamejiwekea kinga ili kuvunja katiba na sheria zetu, kwa manufaa ya kundi la wachache.Tz ina bahati mbaya sana kweye suala la uongozi.
Usiifananishe yanga na chama cha magaidiKuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .