Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Soka ni raha ,acha kelele za mihemko ya bavichaKuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Nchi huwa haiongozwi kwa kuangalia kipi ni raha na ni kipi ni karaha kwako,bali huongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria.Umbwa wewe!Soka ni raha ,acha kelele za mihemko ya bavicha
USSR
Utajuaje labda yanga ni vijana wa hovyo hovyo hata wakifa ni nani anajali!? Lkn mwanasiasa ni kijana anayetunga sheria ya nchi ni lazima walindwe kwa garama yeyote ile. Usiwaze Natania tu anyway.Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Cha ajabu pia hapo uwanjani corona haipo
Mkusanyiko huu unajumuisha wafuasi wa maccm, machadema, macuf, manccr, maact, matadea n.k ni ngumu kuhujumiwa labda Mikia watake kufanya tukio nao watatulizwa kwa kichapo na mashabiki wa Dar Young Africans.Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Mkusanyiko huu unajumuisha wafuasi wa maccm, machadema, macuf, manccr, maact, matadea n.k ni ngumu kuhujumiwa labda Mikia watake kufanya tukio nao watatulizwa kwa kichapo na mashabiki wa Dar Young AfricansKuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Uliwahi kuongoza nchi gani kwa mfano ,mwambie mamako next general election agombeeNchi huwa haiongozwi kwa kuangalia kipi ni raha na ni kipi ni karaha kwako,bali huongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria.Umbwa wewe!
hao ndo maana wanalimwa shaba tu, hii nchi inataka akina hamza wengiKuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .
Mmezuia Mikutano na Makongamano kwa sababu ya Hatari ya usalama kutokana na kadhia ya bunduki za juzi za Hamza , ila mmeruhusu Tamasha la Yanga , tena kwenye mji huohuo wenye hatari zile zile !
Hivi mnadhani mtaendelea kuwadharau wananchi na kuwaongopea hadi lini ?
View attachment 1914956
Corona ni kisingizio tu, hofu yao ni Katiba mpya.Idadi ya maambukizi hapo itakuwa ni kuyatisha na hii delta variant speed yake ya kuchukua uhai ni balaa. Tuombe Mwenyezi Mungu idadi ya vifo hasa Dar isiongezeke.
Corona ni kisingizio tu, hofu yao ni Katiba mpya.
Ni unafiki mtupu.Wako kulinda masilahi ya CCM.Kikao cha NCCR Mageuzi kilizuiliwa jana na polisiccm kwa kisingizio cha matishio ya kigaidi.
πππUliwahi kuongoza nchi gani kwa mfano ,mwambie mamako next general election agombee
USSR
Ndio maana Sirro kamwambia ana Double StandardKuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye kitengo cha propaganda cha jeshi la Polisi ili kiendane na hali ya sasa , hawa waliopo hawakiwezi ama wamepwaya mno , Huwezi kudanganya kwa kiwango cha chini kiasi hiki .