Kwa hiyo kwa Mujibu wa IGP Sirro , Tishio la Usalama ni kwenye makongamano ya wapinzani pekee , kwenye mkusanyiko wa Yanga hakuna?

Weledi wa Kitanzania weledi wa washika mtutu wetu, hapa shida ni kupigania matumbo ya wachache na kwa maslahi ya wachache. Ila ubaguzi huu ndio sababu ya tunayoyaona yakitokea hata kwa hofu au kwa weledi wakitanzania tunabambikiana na kunyanyasana ndani ya taifa letu.
 
Idadi ya maambukizi hapo itakuwa ni kuyatisha na hii delta variant speed yake ya kuchukua uhai ni balaa. Tuombe Mwenyezi Mungu idadi ya vifo hasa Dar isiongezeke.
Hatari sana
 
Reactions: BAK
Tz ina bahati mbaya sana kweye suala la uongozi.
Udhaifu kwenye uzingativu wa sheria na katiba iliyorisiwa kwa mkoloni,tunataka katiba mpya, inayokwamishwa na Wana ccm wa taifa hili kwa hofu yauyapoteza maslahi wanayoyapata kutokana na katiba ya sasa, ambayo ndani yake wamejiwekea kinga ili kuvunja katiba na sheria zetu, kwa manufaa ya kundi la wachache.
 
Usiifananishe yanga na chama cha magaidi
 
Sirro sio polisi, nani anakwambia Sirro ni polisi, wale magwanda ndio wanavaa ya polisi lakini kiukweli Sirro ni mwanasiasa kada wa ccm tena mwaka jana tu alitaka kwenda kugombea ubunge Butiama kwa tiketi ya chama chake hicho. Sirro na polisi wapi na wapi...!! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…