Uchaguzi 2020 Kwa hiyo Mgombea wa CCM kwenye kampeni atakuwa akiongelea Madaraja tu? Kwake yeye Uhuru wa Raia si agenda

Acheni uoga mabumunda. Yapi mengi Basi yaorodheshe😂😂 Hivi mwenye chakula anaefinya mikono wengine wasile na kuwaunguza mikono na ambaye anataka chakula yupi mroho?huna akili bumunda
 
Acheni uoga mabumunda. Yapi mengi Basi yaorodheshe[emoji23][emoji23] Hivi mwenye chakula anaefinya mikono wengine wasile na kuwaunguza mikono na ambaye anataka chakula yupi mroho?huna akili bumunda
Sio lazima nikuambie ni yepi lakini mwenye akili timamu anayajua yote yaliyo fanywa na mzee kwakuwa nyie ni debe tupu kawaida hamuachi kuvuma. Kandama ka Nyumbu kwenye ubora wako.
 
Sio lazima nikuambie ni yepi lakini mwenye akili timamu anayajua yote yaliyo fanywa na mzee kwakuwa nyie ni debe tupu kawaida hamuachi kuvuma. Kandama ka Nyumbu kwenye ubora wako.
Huyu amefanya ya kumalizia au kuzindua waliyoanzisha BWM na JK kama daraja la Kigamboni na Terminal 3. Ya kwake aliyoyaanzisha anayafanya kiholela na hayajakamilika kwa vile anakurupuka. Angalia SGR ni mapicha tu mnatupa kwenye vyombo vya habari na Stiglers Gorge ni uharibifu wa baioanuwai ya dunia.
 
Umeyaona ambayo hayajaisha kwa kuwa umeamua kuona huko tu. Bado kuna hospitai za rufaa, vituo vya afya, renovation ya shule kongwe, miradi ya maji, majosho ya mifugo, vihenge vya kitaifa vya kuhifadhia mazao nk. Vyote hivi kamaliza na vina athari chanya kwa wananchi, so nyie endeleeni kujitekenya na kucheka, muda unawaacha..
 
Hospitali za Rufaa bila dawa ni UTOPOLO tu!! Na hiyo Ihungo ilyokarabatiwa kwa hela za rambi rambi za wahanga wa tetemeko siyo kipimo kwa kuwa mashule mengi bado yana hali mbaya.

Mtu wenu anapenda masifa tu lakini mwisho wa siku hakuna alilofanya. Hebu afungulie free press kama wenzie tupimane kwa mijadala na wananchi ndiyo waambie. Sasa hivi mumejazwa propaganda zake tu kwa vile kutwa TVs zote ni kusifia na kumwabudu yeye yesu wa Kangi Lugora.
 
Hii nchi ilishakuwa huru kwa takribani miongo sita sasa, wewe endelea na minyorororo hapo ufipani. Sisi tunajenga nchi.
Kwa ubongo kama huo wa kwako ndani ya ccm kila baada ya miaka mitano utaishia kuambulia tshet, kofia na kale kaposho ka wajumbe nchi wataendelea Kula walewale mwisho watakukabidhi vuvuzela ndo zawadi ya kufa nayo
 
Makaburi yanafukuliwa mapema sio.kama alivyokua anafufua misukule sio.ngoja nivute kiti nikae vizuri nichabo yaanayo jiri .huu ndio wakati wa maubutu fitna uongo na kuchongeana lakini kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Umeyaona ambayo hayajaisha kwa kuwa umeamua kuona huko tu. Bado kuna hospitai za rufaa, vituo vya afya, renovation ya shule kongwe, miradi ya maji, majosho ya mifugo, vihenge vya kitaifa vya kuhifadhia mazao nk. Vyote hivi kamaliza na vina athari
Majosho yamejengwa wapi mbona huku yapo kibao mabovu au unaongelea Rwanda?
 
Kujenga mahosp. au health centers ambazo hazina dawa wala watumishi ni sawa na kujenga maghala ya kutunzia wagonjwa Kwa hiyo sifa zingine hazina maana.
 
Kuwa na subira usikie atakachoongelea come 27/08/2020. Usiwe na haraka ya kuwaza waza na kujiumiza kichwa bure, subiri tu kwani mvumilivu hula mbivu. Kampeni za Lissu za haki za binadamu tumezisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…