Acheni uoga mabumunda. Yapi mengi Basi yaorodheshe😂😂 Hivi mwenye chakula anaefinya mikono wengine wasile na kuwaunguza mikono na ambaye anataka chakula yupi mroho?huna akili bumundaChadema na watu wake ovyo sana, kwahiyo na nyie mgombea wenu atakuwa anaongelea uhuru wa kubwabwaja na yeye kutandikwa risasi tu? Ya ngoswe muachie ngoswe. Magu ana mambo mengi kuna baadhi umeyataja na mengine mara 6 yake ya uliyoyataja. Na mengi yake amesha yatekeleza hakuna ambaye hajui zaidi ya nyie waroho wa madaraka mnaotaka kuingia na porini.