Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

Huyu mtu mtu Mbeya asiruhusiwe kwenda Dodoma kesho kutwa.
Anawafundisha askari kumkaidi Amiri Jeshi Mkuu.
Sheria zinawekwa na mtu mwenye nguvu.
Tulipokuwa Wajamaa,kumiliki kiwanda ilikuwa dhambi.
Sheria haziwekwi kwa sababu ya Haki.
Sasa,Askofu Gwajima aache kuongea kama kasuku ili asiwekwe kwenye tundu.
Leo baada ya ibada tunapata rosti maini pale pa cku zote au kuku mchemsho ule mtaa wa pili ili tumjadili vizuri huyu mbeya tujue namna ya ku-deal naye
 
Gwajima anahoja, na sio hoja yake peke yake ni ya watanzania wengi. Tatizo la CCM inataka ikiwaambia watanzania nyuma geuka, kulia geuka waitikie Tu hata kama kuna mashimo.
 
Gwajima anahoja, na sio hoja yake peke yake ni ya watanzania wengi. Tatizo la CCM inataka ikiwaambia watanzania nyuma geuka, kulia geuka waitikie Tu hata kama kuna mashimo.
Atueleze ule mpango wakutupeleka wakazi wa kawe ulaya uliishia wapi?unafiki wa kujifanya mwema kutafuta umaarufu wa kisiasa
 
Aisee yaani mpaka wakati mwingine huwa najiuliza ambao wanayaunga na kuyashabikia haya yanayoendelea nchini kwetu. Ni Watanganyika au watu wa wapi?

Halafu kwanini ni Tanganyika tu? Kule Zanzibar hakuna haya mambo?

Watanganyika ifike wakati bila kujali itikadi za kisiasa tupaze sauti zetu kwa pamoja. Haya mambo wanayofanyiwa na kuwapata wenzetu. HAPANA YATOSHA.

Sio lazima kuandamana hata kwa kuandika mitandaoni inatosha.

Naamini yataisha haya na haki itapatikana kwa kila aliyedhurumiwa. Sio kusudi la Mungu kutokea haya ila ni Watu wacha he kwa ubinafsi wao wanaendesha haya mambo.

Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿😔🤲
 
Huyu mtu mtu Mbeya asiruhusiwe kwenda Dodoma kesho kutwa.
Anawafundisha askari kumkaidi Amiri Jeshi Mkuu.
Sheria zinawekwa na mtu mwenye nguvu.
Tulipokuwa Wajamaa,kumiliki kiwanda ilikuwa dhambi.
Sheria haziwekwi kwa sababu ya Haki.
Sasa,Askofu Gwajima aache kuongea kama kasuku ili asiwekwe kwenye tundu.
idd Amin mamaaa hakuna kitu aiseee, uwezo mdogo sana wa kishule
 
Back
Top Bottom