Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Uliisoma kesi ya akina sharrif ? Itafute humu usipanicacha UONGO wewe,wauaji wa Kaka walio nje ni akina nani?? JINGA wewe
Sasa, huo ushahidi ungepelekwa mahakamani. Wakati mwingine tunalaumu mahakama bure.Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiwrka Kwa dada yake Aneth Msuya.
Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja liondoke .
Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Wakati mwingine kuiachia karma iamue ni ujinga hasa kama maamuzi ya kuiwahisha hiyo karma yapo mikononi / ndani ya uwezo wako.Kama kweli alihusika Karma is... Mungu ndo anajua
Mmachame ni nani sasa kwenye hiyo kesi? Maana mke wa Msuya ni mrangi, na msuya ni mpare, uwe unaficha u kumer wako sometimeUkiskia MMACHAME kimbiaaaaa.
Wanawake wa Aina hii ndio wanafanya vijana wanakataa Ndoa!
Ndoa ni Kifo.
Ndoa ni Jela.
Ndoa ni gereza.
Ndoa ni Utapeli.
Lkn zingatia ili uwe mwanaume timilifu lazima Uoe, kikubwa ishi nao kwa akili.
aione Uffwoo Swarro na wafuasi wake.
Waacheni wamachame wapumzike jamani, mke wa msuya ni mrangi wa kondoa, k=lyn si mmachame, mke mwizi wa davis mosha si mmachame,hebu tutajie kesi angalau mbili ambazo zimemuhusisha mmachame,au kukariri tu?Ili mambo haya yasikukute usikaribie mwanamke wa Kimachame
Unawezekana ukawa na wanasheria wote 100 wazuri lkn ikala kwako. Mbowe kama sio msamaha wa mama sasa tungehesabu miaka. Binaadam akikusudia Allah pekee ndio wa kukuokoa.Wenyewe wanataka "proof beyond reasonable doubt"..
Kwa mfumo wa mahakama haujali hisia wala utashi wa kawaida. Unahitaji logic, uelewa wa sheria na jinsi ya kucheza nao
Hapa ndo maskini na watu wasio na uwezo hupoteza haki zao maana mwenye kuijua sheria, nguvu ya kupata mwanasheria mzuri na pesa ya kufanya lobbying, lazma apenye hata akifanya kosa
Kiranga alisema havipoHivi uchawi na uganga au majini huwa yapo kweli??
Jibu alitoa makonda kwenye moja ya mkutano wake wananchi wa hali ya chini msitegemee mahakama muachieni MunguMnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.
Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali kikipenyeza kwenye Kooo, mishipa ya Damu, Damu ikirukaaa, Kikapenya kwenye Mishipa ya faham, nahatimaye Kikapenya katikati ya maungio ya shingo, Ni wazi Dada wa Msuya alikufa Kifo chenye maumivu makubwa sana.
Kifo kilichokusudiwa, Kifo ambacho Ndani yake ,Muuaji alijawa hasira, Chuki na Roho ya kisasi ilokusudia "Nitakuonyesha", ..Na Kwa sababu hiyo, Muuaji alichagua Kuua Kwa KUCHINJA , tuseme kwamba aliuwawa akiwa tayari kasinzilishwa Kwa dawa za usingizi, yote Kwa yote, aliuwawa Kwa KUCHINJA.
Maajabu ,Leo katika Nchi ya Hasira, Nchi ambayo MaJAJI ni Matajiri wa kupindukia, Nchi ambayo hata askari anayelinda nyumba ya Jaji na wasaidizi wa Jaji ni matajiriii...
Nchi ambayo Polisi imejaa Darasa la Saba, Na Walofeli Kidato Cha Nne ndio wanaofanya Forensic investigation, Nchi ambayo alofeli Kidato Cha Nne, ndio anapewa kazi ya upepelezi.
Nchi ambayo, Wakili mwenye Uwezo mzuri, alofaulu kujua Ombwe la Sheria zetu, naaam kwakua kwake ni Kutetea mteja na Pesa, anaamua kutumia Elimu yake na uelewa wake, kumtetea mteja wake, na kweli Mteja kaachiwa huru.
Ni nani alimuua dada wa msuya? Tuambiane basi kama alijichinja tujueee.
Mdada wa kazi? Mdada wa kazi ndio muuaji? Kwamba alimshinda nguvu dada wa msuya??.
Katika uumbaji wa mwanamke, hana gut ya kuua kwa kuchinja, hawezi na haitokaa itokee.
Kama alotekeleza mauaji hayo ni mwanaume, aliyafanya kwa lengo gani ,afaidike na nini?.
Haya bana, niwashukuru kwa kuendelea kutenda haki. Hivi kama jeshi halikua na uwezo wa kipelelezi, simngeomba msaada nje?
Kwanini maisha ya watu ni mnachezea kamari namna hii?
Ningekuelekeza sehemu lakiniAisee.Haya mambo yanauma sana.Kama ni kweli huyu mama alitenda basi Mahakamani ni ujanja ujanja tu hakuna haki. Pesa ilimuua Yuda na alimsariti Yesu- immagine usikute wakina Kibatala wanajua ukweli kabisa lkn wanatafuta loop holes za kumuokoa mtu.
Hivi uchawi na uganga au majini huwa yapo kweli??
Kabisa mkuuUnawezekana ukawa na wanasheria wote 100 wazuri lkn ikala kwako. Mbowe kama sio msamaha wa mama sasa tungehesabu miaka. Binaadam akikusudia Allah pekee ndio wa kukuokoa.
Hiking kitu unaweza kukiona kawaida hadi kikukute.. Na sio mahakamani tu, kwa ufupi maskini hana hakiSasa kama Mahakama inahitaji mambo ya lobbying na ujanja ujanja wewe unaona ni chombo cha Haki?
Naungana na Makonda hakuna haja ya maskini kwenda mahakamani ni umuachie Mungu ahukumu maumivu Yako au uwe mchawi nguli uroge Kwa kisasi Ili nafasi ipumue.
Hii mambo inauma kana kwamba ni ndugu yangu kafanyiwa wakati hata siwajui.
Ni kawaida tu mkuu, unajua msiba huwezi kuujua uchungu wake hadi ukufikie. Ndio jinsi hizi issues zilivyoNiliwahi kumuambia mtu hiki kitu, alinibishia sana, natamani aione hii.
We unatakiwa kupigwa chuma.Acha kutafuta public sympathy! Mama wa watu kakaa lockup miaka 8 mmeshindwa kutoa ushahidi wa kutosha mnataka nini tena?
Waliomuua Msuya mmewashindwa wapo mtaani wanazurura na kujichora tattoos mnahangaika na mjane
Visasi vya muda mrefuHivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?
Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?
Hapa nahitaji kueleweshwa .
Ninavosikia Bilionea aliacha Urithi 60% kwa mke na 40% kwa ndugu zake sasa mke akataka mali zote ale mwenyeweHivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?
Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?
Hapa nahitaji kueleweshwa .
Duara kwel ww! Katoeni ushahidiWe unatakiwa kupigwa chuma.