Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Acha kutafuta public sympathy! Mama wa watu kakaa lockup miaka 8 mmeshindwa kutoa ushahidi wa kutosha mnataka nini tena?
Waliomuua Msuya mmewashindwa wapo mtaani wanazurura na kujichora tattoos mnahangaika na mjane
Waliomuua Msuya mmewashindwa wapo mtaani wanazurura na kujichora tattoos mnahangaika na mjane