Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Kun uhakika gani yeye anahusika?Mbona alishikiliwa kwa miaka 8 ?
 
Wenyewe wanataka "proof beyond reasonable doubt"..

Kwa mfumo wa mahakama haujali hisia wala utashi wa kawaida. Unahitaji logic, uelewa wa sheria na jinsi ya kucheza nao

Hapa ndo maskini na watu wasio na uwezo hupoteza haki zao maana mwenye kuijua sheria, nguvu ya kupata mwanasheria mzuri na pesa ya kufanya lobbying, lazma apenye hata akifanya kosa
Sahihi kabisa,kuna tofauti kubwa kati ya haki na sheria,unaweza ukawa na haki ila mwanasheria akacheza na sheria ukashindwa kesi.
 
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.

Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiwrka Kwa dada yake Aneth Msuya.

Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja liondoke .

Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Mke wa Bilionea aue wifi kwa sababu ya kiwanja , hicho kiwanja kingeuzwa bei gani ?
 
Watu wa Kaskazini baadhi wanajikuta wanaijua sana pesa, mimi nasemaje mahakama iwaache wachinjane kama kuku hadi siku watakapotambua maisha ni zaidi ya pesa
Usigeneralize. Upande mmoja ndio unachinjwa sio kuchinjana. Yani upande wa Msuya.
 
Hii inanikumbusha kesi ya O.J. Simpson na mauaji ya Nicole Brown Simpson na Ron Goldman.

Mpaka leo hii O.J. eti bado ‘anawatafuta’ wauaji 😀.
 
Sahihi kabisa,kuna tofauti kubwa kati ya haki na sheria,unaweza ukawa na haki ila mwanasheria akacheza na sheria ukashindwa kesi.
Kabisa mkuu, fikiria mtu anafungua mashtaka ya madai wakati kaibiwa. Mwisho wake kesi badala ya kuwa ya kunai inageuka kuwa ya madai ambayo haina uzito mkubwa.

Maskini wengi ndio waathirika wakubwa 🙏🏽
 
Wenyewe wanataka "proof beyond reasonable doubt"..

Kwa mfumo wa mahakama haujali hisia wala utashi wa kawaida. Unahitaji logic, uelewa wa sheria na jinsi ya kucheza nao

Hapa ndo maskini na watu wasio na uwezo hupoteza haki zao maana mwenye kuijua sheria, nguvu ya kupata mwanasheria mzuri na pesa ya kufanya lobbying, lazma apenye hata akifanya kosa
Niliwahi kumuambia mtu hiki kitu, alinibishia sana, natamani aione hii.
 
Ukioa mmachame hakikisha huwi tajiri.
Kama utakua tajiri siku zako za kuishi si nyingi
 
Back
Top Bottom