Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama aliandika mbele ya Wanasheria ugomvi unatoka wapi , halafu mbona hili halikuwemo kwenye kesi ?Ninavosikia Bilionea aliacha Urithi 60% kwa mke na 40% kwa ndugu zake sasa mke akataka mali zote ale mwenyewe
Je una uhakikaa yule mwanmke Ni mmachameUkiskia MMACHAME kimbiaaaaa.
Wanawake wa Aina hii ndio wanafanya vijana wanakataa Ndoa!
Ndoa ni Kifo.
Ndoa ni Jela.
Ndoa ni gereza.
Ndoa ni Utapeli.
Lkn zingatia ili uwe mwanaume timilifu lazima Uoe, kikubwa ishi nao kwa akili.
aione Uffwoo Swarro na wafuasi wake.
Inafikirisha sna nshindwa kupata angle chuki gan had ue ndugu wa mume ili umiliki pesa of which pesa iko kwa mikono yakeHivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?
Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?
Hapa nahitaji kueleweshwa .
Alimwua wifi kwasababu wifi alikuwa anajua siri nyingi ikiwa ni pamoja na ndiye alimwua mume wake. Hata Jaji Kakolaki amejua ukweli ila pesa ilimzidi nguvu. Serikali ikate rufaa. Wale wanawake wa UWT wako wapi? Wakate rufaa court of appeal baada ya hapo rufaa ya mwisho ni kwa mwenyenzi Mungu pekee.Hivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?
Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?
Hapa nahitaji kueleweshwa .
Wauaji wa kaka kuna walihukumiwa kunyongwa mpaka kufa ila wachache km 2 ndio wameachiwa huru.Wauaji wa Kaka wote wako nje
Wauaji wa Dada wote wako nje
Mahakamani kuna kazi kweli kweli
Kamtamfute aliyemchinja ufungue kesi. Huyo uliyemleta tumekataa.Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.
Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali kikipenyeza kwenye Kooo, mishipa ya Damu, Damu ikirukaaa, Kikapenya kwenye Mishipa ya faham, nahatimaye Kikapenya katikati ya maungio ya shingo, Ni wazi Dada wa Msuya alikufa Kifo chenye maumivu makubwa sana.
Kifo kilichokusudiwa, Kifo ambacho Ndani yake ,Muuaji alijawa hasira, Chuki na Roho ya kisasi ilokusudia "Nitakuonyesha", ..Na Kwa sababu hiyo, Muuaji alichagua Kuua Kwa KUCHINJA , tuseme kwamba aliuwawa akiwa tayari kasinzilishwa Kwa dawa za usingizi, yote Kwa yote, aliuwawa Kwa KUCHINJA.
Maajabu ,Leo katika Nchi ya Hasira, Nchi ambayo MaJAJI ni Matajiri wa kupindukia, Nchi ambayo hata askari anayelinda nyumba ya Jaji na wasaidizi wa Jaji ni matajiriii...
Nchi ambayo Polisi imejaa Darasa la Saba, Na Walofeli Kidato Cha Nne ndio wanaofanya Forensic investigation, Nchi ambayo alofeli Kidato Cha Nne, ndio anapewa kazi ya upepelezi.
Nchi ambayo, Wakili mwenye Uwezo mzuri, alofaulu kujua Ombwe la Sheria zetu, naaam kwakua kwake ni Kutetea mteja na Pesa, anaamua kutumia Elimu yake na uelewa wake, kumtetea mteja wake, na kweli Mteja kaachiwa huru.
Ni nani alimuua dada wa msuya? Tuambiane basi kama alijichinja tujueee.
Mdada wa kazi? Mdada wa kazi ndio muuaji? Kwamba alimshinda nguvu dada wa msuya??.
Katika uumbaji wa mwanamke, hana gut ya kuua kwa kuchinja, hawezi na haitokaa itokee.
Kama alotekeleza mauaji hayo ni mwanaume, aliyafanya kwa lengo gani ,afaidike na nini?.
Haya bana, niwashukuru kwa kuendelea kutenda haki. Hivi kama jeshi halikua na uwezo wa kipelelezi, simngeomba msaada nje?
Kwanini maisha ya watu ni mnachezea kamari namna hii?
Eleza kiwanja Kiko wapi acha porojo kiwanja akiuze aneth kwa pesa alizo acha marehemu mume wakeKuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.
Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .
Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Unajiuliza kama kweli, halafu tena wazungumzia pesa. Unaamini kipi?Aisee.Haya mambo yanauma sana.Kama ni kweli huyu mama alitenda basi Mahakamani ni ujanja ujanja tu hakuna haki. Pesa ilimuua Yuda na alimsariti Yesu- immagine usikute wakina Kibatala wanajua ukweli kabisa lkn wanatafuta loop holes za kumuokoa mtu.
Hivi uchawi na uganga au majini huwa yapo kweli??
Kwamba huyu Mke wa Msuya ndiye aliyemuua Msuya ? hili jipyaAlimwua wifi kwasababu wifi alikuwa anajua siri nyingi ikiwa ni pamoja na ndiye alimwua mume wake. Hata Jaji Kakolaki amejua ukweli ila pesa ilimzidi nguvu. Serikali ikate rufaa. Wale wanawake wa UWT wako wapi? Wakate rufaa court of appeal baada ya hapo rufaa ya mwisho ni kwa mwenyenzi Mungu pekee.
Hatuna issue za kusimulia hapa, mbona hukuomba uwe shahidi mahakamani?Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.
Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .
Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Bado hujatushawishi. Aneth hata akiuwa, Wifi anapataje mamlaka ya kuuza mali ya Aneth?Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.
Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.
Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .
Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Acheni uzwazwa, kosa la Kibatala ni nini?Kibatala Mungu anamwona
Hana mwisho mzuri kwenye uwakili wake.
Nilisoma katika utetezi wa mjane, kwanza aliwapa mawifi zake wote mil 70 kila mmoja kama sehemu ya mirathi. Akawapa wakwe pia.Ni wazi kesi ya Bilionea Msuya hujaifuatilia kabisa na unaleta stori za vijiweni. Jamaa aliuawawa kutokana masuala yake ya biashara hizo hizo za madini baada ya kuhitilafiana na wenzake.
Kwenye suala la huyu mama ni mazingira ndio yanamtia hatiani. Inawezekana marehemu Aneth pia alikuwa ana issues personal na watu wengine its just hili la huyu mama ndio likapewa uzito.
Mahakama imeamua kutokana na ushahidi uliowasilishwa mbele yake. Ukifuatilia hii kesi utaona kabisa kwa namna mambo ya mirathi yalivyo kibongo bongo hao ndugu zake na Bilionea hakuna namna mirathi wangepata wao unless watumie mbinu za ziada.
Katika kesi ambayo siwezi kuwalaumu upelelezi na Polisi kwa ujumla ni hii. Upelelezi ulinyooka mno ila hela Kaka, majaji na hela, mawakili wa serikali na hela. Kati ya watu wasiosemwa lakini wako Moto kwa mlungura kwa Sasa ni ofisi ya DPP.Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.