Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Ukiskia MMACHAME kimbiaaaaa.
Wanawake wa Aina hii ndio wanafanya vijana wanakataa Ndoa!
Ndoa ni Kifo.
Ndoa ni Jela.
Ndoa ni gereza.
Ndoa ni Utapeli.
Lkn zingatia ili uwe mwanaume timilifu lazima Uoe, kikubwa ishi nao kwa akili.
aione Uffwoo Swarro na wafuasi wake.
Je una uhakikaa yule mwanmke Ni mmachame

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?

Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?

Hapa nahitaji kueleweshwa .
Inafikirisha sna nshindwa kupata angle chuki gan had ue ndugu wa mume ili umiliki pesa of which pesa iko kwa mikono yake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mh.Makonda alishasema kua nchi hii mahakama sio sehemu yakupata haki.Kwenye ile kauli alikua sahihi asilimia 100000.Sio mara moja au mbili mahakama na polisi zimeshutumiwa kua hawatendi haki.lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa zakurekebisha hali ya mambo ndani ya hivyo vyombo.Sasa kuwauliza hao hao walioshindwa nikupoteza muda.Hao ndugu watafute haki ya ndugu yao kwa namna nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sababu hasa ya Mke wa Msuya kuhusishwa na kifo cha Wifi yake ni ipi ? na kwamba kama angemuua wifi angepata nini zaidi ya mali ambazo alikuwa nazo za bilionea Msuya?

Na kwamba uwepo hai wa huyu wifi ungezuia kitu gani kwa mke wa Msuya kupoteza mali za mumewe na huku ni mke halali?

Hapa nahitaji kueleweshwa .
Alimwua wifi kwasababu wifi alikuwa anajua siri nyingi ikiwa ni pamoja na ndiye alimwua mume wake. Hata Jaji Kakolaki amejua ukweli ila pesa ilimzidi nguvu. Serikali ikate rufaa. Wale wanawake wa UWT wako wapi? Wakate rufaa court of appeal baada ya hapo rufaa ya mwisho ni kwa mwenyenzi Mungu pekee.
 
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.

Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali kikipenyeza kwenye Kooo, mishipa ya Damu, Damu ikirukaaa, Kikapenya kwenye Mishipa ya faham, nahatimaye Kikapenya katikati ya maungio ya shingo, Ni wazi Dada wa Msuya alikufa Kifo chenye maumivu makubwa sana.

Kifo kilichokusudiwa, Kifo ambacho Ndani yake ,Muuaji alijawa hasira, Chuki na Roho ya kisasi ilokusudia "Nitakuonyesha", ..Na Kwa sababu hiyo, Muuaji alichagua Kuua Kwa KUCHINJA , tuseme kwamba aliuwawa akiwa tayari kasinzilishwa Kwa dawa za usingizi, yote Kwa yote, aliuwawa Kwa KUCHINJA.

Maajabu ,Leo katika Nchi ya Hasira, Nchi ambayo MaJAJI ni Matajiri wa kupindukia, Nchi ambayo hata askari anayelinda nyumba ya Jaji na wasaidizi wa Jaji ni matajiriii...

Nchi ambayo Polisi imejaa Darasa la Saba, Na Walofeli Kidato Cha Nne ndio wanaofanya Forensic investigation, Nchi ambayo alofeli Kidato Cha Nne, ndio anapewa kazi ya upepelezi.

Nchi ambayo, Wakili mwenye Uwezo mzuri, alofaulu kujua Ombwe la Sheria zetu, naaam kwakua kwake ni Kutetea mteja na Pesa, anaamua kutumia Elimu yake na uelewa wake, kumtetea mteja wake, na kweli Mteja kaachiwa huru.

Ni nani alimuua dada wa msuya? Tuambiane basi kama alijichinja tujueee.

Mdada wa kazi? Mdada wa kazi ndio muuaji? Kwamba alimshinda nguvu dada wa msuya??.

Katika uumbaji wa mwanamke, hana gut ya kuua kwa kuchinja, hawezi na haitokaa itokee.

Kama alotekeleza mauaji hayo ni mwanaume, aliyafanya kwa lengo gani ,afaidike na nini?.

Haya bana, niwashukuru kwa kuendelea kutenda haki. Hivi kama jeshi halikua na uwezo wa kipelelezi, simngeomba msaada nje?

Kwanini maisha ya watu ni mnachezea kamari namna hii?
Kamtamfute aliyemchinja ufungue kesi. Huyo uliyemleta tumekataa.
 
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.

Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.

Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .

Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Eleza kiwanja Kiko wapi acha porojo kiwanja akiuze aneth kwa pesa alizo acha marehemu mume wake

Acheni uzushi wa kijinga kiwanja kilikikuwa na dhamani ya Kia's gani Hadi atolewe roho Teja Bei kiwanja hcho mnk mm Nina nina rfk angu alikuwa valuer wa Mali za msuya

Kuna kitu kingine baasi apart from kiwanja ambacho ndio kifo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aisee.Haya mambo yanauma sana.Kama ni kweli huyu mama alitenda basi Mahakamani ni ujanja ujanja tu hakuna haki. Pesa ilimuua Yuda na alimsariti Yesu- immagine usikute wakina Kibatala wanajua ukweli kabisa lkn wanatafuta loop holes za kumuokoa mtu.

Hivi uchawi na uganga au majini huwa yapo kweli??
Unajiuliza kama kweli, halafu tena wazungumzia pesa. Unaamini kipi?
 
Alimwua wifi kwasababu wifi alikuwa anajua siri nyingi ikiwa ni pamoja na ndiye alimwua mume wake. Hata Jaji Kakolaki amejua ukweli ila pesa ilimzidi nguvu. Serikali ikate rufaa. Wale wanawake wa UWT wako wapi? Wakate rufaa court of appeal baada ya hapo rufaa ya mwisho ni kwa mwenyenzi Mungu pekee.
Kwamba huyu Mke wa Msuya ndiye aliyemuua Msuya ? hili jipya
 
Mwisho wa siku wote tutakufa, hata Lazaro pamoja na kufufuliwa na Yesu lakini akafa tena. Know this and know peace.
 
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.

Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.

Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .

Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Hatuna issue za kusimulia hapa, mbona hukuomba uwe shahidi mahakamani?
 
Kuna siri kubwa sana tangu kifo cha Bilionea msuya hadi dada yake.

Kuna hati ya Kiwanja kilicho Arusha kilikuwa cha Bilionea msuya, ila hati ya Kiwanja hicho marehemu Bilionea msuya alikuwa ameiweka Kwa dada yake Aneth Msuya.

Baada ya kifo cha Bilionea msuya, mke akataka kukiuza hicho Kiwanja , akashindwa Kwa sababu hati Iko Kwa Aneth Msuya, Dar, issue ikawa Aneth Msuya afanyiwe aliyofanyiwa ili hati ipatikane na Kiwanja kiondoke .

Wiki ijayo nitakusimulia zaidi ila Kwa Sasa simamia hapa
Bado hujatushawishi. Aneth hata akiuwa, Wifi anapataje mamlaka ya kuuza mali ya Aneth?
 
Halafu anatoka anasema yesu wangu nikaona kweli dunia hii kuna watu wanafiki.
 
Ni wazi kesi ya Bilionea Msuya hujaifuatilia kabisa na unaleta stori za vijiweni. Jamaa aliuawawa kutokana masuala yake ya biashara hizo hizo za madini baada ya kuhitilafiana na wenzake.

Kwenye suala la huyu mama ni mazingira ndio yanamtia hatiani. Inawezekana marehemu Aneth pia alikuwa ana issues personal na watu wengine its just hili la huyu mama ndio likapewa uzito.

Mahakama imeamua kutokana na ushahidi uliowasilishwa mbele yake. Ukifuatilia hii kesi utaona kabisa kwa namna mambo ya mirathi yalivyo kibongo bongo hao ndugu zake na Bilionea hakuna namna mirathi wangepata wao unless watumie mbinu za ziada.
Nilisoma katika utetezi wa mjane, kwanza aliwapa mawifi zake wote mil 70 kila mmoja kama sehemu ya mirathi. Akawapa wakwe pia.
Halafu marehemu Aneth, amemlea mwenyewe (aliletwa kwake akiwa mdogo sana), kakulia kwake, kamsomesha na hata posa yake ilipokelewa nyumbani kwake. Ina maana ni mtu aliyekuwa na ukaribu sana na wifi yake.
Kweli Aneth kauwawa, ila nani kamuuwa na kwa nini? Remains the question of the case.
 
Ok tukubali kuwa make wa Msuya sio yeye alipanga mauaji, Kwa hiyo ndio mwisho au muuaji atatafutwa?
 
Umefanya kosa la kiufundi kwa kudharau wenye elimu ndogo ya darasani ukiamini ndiyo chanzo cha kuharibika kwa hiyo kesi na wahusika halisi kutotiwa hatiani.
Kitu unachotakiwa kuweka akilini ni kwamba kuna watu ni wataalamu wabobezi wa hizo shughuli lakini wala hawana elimu kubwa kama unavyotaka kutuaminisha na wamefanya vizuri kwenye mashauri magumu na kuleta matokeo chanya ambayo hata mwenye PHD hawezi kupata matokeo kama hayo.
Changamoto inayopelekea mambo mengi kuharibika hivi sasa ni kuwadharau wabobezi na imani kubwa imejengwa kwa hao ambao wewe unaamini wana elimu kubwa ambayo wameshindwa kuitumia na kulea matokeo chanya.
Usikute hata hiyo kesi waliosababisha kuharibika ni hao unaowaamini wana elimu kubwa aidha kwa kukosa uzalendo na kuendekeza tamaa au kwa kudharau kuwa hizo mambo hazitakiwi kupuuza maoni na ushauri wa wabobezi
 
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.

Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali kikipenyeza kwenye Kooo, mishipa ya Damu, Damu ikirukaaa, Kikapenya kwenye Mishipa ya faham, nahatimaye Kikapenya katikati ya maungio ya shingo, Ni wazi Dada wa Msuya alikufa Kifo chenye maumivu makubwa sana.

Kifo kilichokusudiwa, Kifo ambacho Ndani yake ,Muuaji alijawa hasira, Chuki na Roho ya kisasi ilokusudia "Nitakuonyesha", ..Na Kwa sababu hiyo, Muuaji alichagua Kuua Kwa KUCHINJA , tuseme kwamba aliuwawa akiwa tayari kasinzilishwa Kwa dawa za usingizi, yote Kwa yote, aliuwawa Kwa KUCHINJA.

Maajabu ,Leo katika Nchi ya Hasira, Nchi ambayo MaJAJI ni Matajiri wa kupindukia, Nchi ambayo hata askari anayelinda nyumba ya Jaji na wasaidizi wa Jaji ni matajiriii...

Nchi ambayo Polisi imejaa Darasa la Saba, Na Walofeli Kidato Cha Nne ndio wanaofanya Forensic investigation, Nchi ambayo alofeli Kidato Cha Nne, ndio anapewa kazi ya upepelezi.

Nchi ambayo, Wakili mwenye Uwezo mzuri, alofaulu kujua Ombwe la Sheria zetu, naaam kwakua kwake ni Kutetea mteja na Pesa, anaamua kutumia Elimu yake na uelewa wake, kumtetea mteja wake, na kweli Mteja kaachiwa huru.

Ni nani alimuua dada wa msuya? Tuambiane basi kama alijichinja tujueee.

Mdada wa kazi? Mdada wa kazi ndio muuaji? Kwamba alimshinda nguvu dada wa msuya??.

Katika uumbaji wa mwanamke, hana gut ya kuua kwa kuchinja, hawezi na haitokaa itokee.

Kama alotekeleza mauaji hayo ni mwanaume, aliyafanya kwa lengo gani ,afaidike na nini?.

Haya bana, niwashukuru kwa kuendelea kutenda haki. Hivi kama jeshi halikua na uwezo wa kipelelezi, simngeomba msaada nje?

Kwanini maisha ya watu ni mnachezea kamari namna hii?
Katika kesi ambayo siwezi kuwalaumu upelelezi na Polisi kwa ujumla ni hii. Upelelezi ulinyooka mno ila hela Kaka, majaji na hela, mawakili wa serikali na hela. Kati ya watu wasiosemwa lakini wako Moto kwa mlungura kwa Sasa ni ofisi ya DPP.
 
Back
Top Bottom