Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

Anaweza kuwa kweli kauawa , lakini aliyemuua ni huyu mnayemdhania, kwanini ?

Ndio maana tunataka mamlaka zilizowekwa zenye jukumu la kukinda watu na mali zao wawajibike.
Watuambie walofanya hayo mauaji.
Hivi kweli mtu auwawe Tena nyumbani kwake halafu ibaki kuwa asijulikane alofanya mauaji wakati tuna vyombo vya doła vya kikatiba vya kulinda maisha yake na mali?
 
Hivyo vyombo vinapaswa kutumia utaalam wa Hali ya juu kuntambua mtu aliyetenda hilo kosa.
 
Hii haiwezi kuwa sababu. Yaani ishindikane kutengeneza hati nyingine?

Kama ilikuwa ni mali ya mumewe ilikuwa inatolewa tangazo la upotevu wa hati, then ikatolewa certified copy maisha yakaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…