Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Anaweza kuwa kweli kauawa , lakini aliyemuua ni huyu mnayemdhania, kwanini ?
Ndio maana tunataka mamlaka zilizowekwa zenye jukumu la kukinda watu na mali zao wawajibike.
Watuambie walofanya hayo mauaji.
Hivi kweli mtu auwawe Tena nyumbani kwake halafu ibaki kuwa asijulikane alofanya mauaji wakati tuna vyombo vya doła vya kikatiba vya kulinda maisha yake na mali?