Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

Kwa hiyo tumehamia TEC vs BAKWATA and TEC vs GOVERNMENT? HALI MI MBAYA

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana

In God we Trust
 
Katoliki ni dola kamili ndio maana inapambana na dola nyenzie, hao bakwata hawajai kwa hao TEC, TEC sio wa kuwaamini sana wakiwavalia njuga hao mashekhe ubwabwa wataumbuka maana hata rafu wanacheza.
 
Msiwatafute maneno hao TEC wala hawajawahi kuitaja dini/dhehebu lolote mahali popote
 
Tec wwatupe idadi ya waliokufa Mo29, tujue kuomboleza hiyo 9D
 
Back
Top Bottom