Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana
Katoliki ni dola kamili ndio maana inapambana na dola nyenzie, hao bakwata hawajai kwa hao TEC, TEC sio wa kuwaamini sana wakiwavalia njuga hao mashekhe ubwabwa wataumbuka maana hata rafu wanacheza.