Kwa hiyo Yanga ndiyo imegoma kufungua WhatsApp Channel?

Kwa hiyo Yanga ndiyo imegoma kufungua WhatsApp Channel?

Kila mtu ka set target ya mafanikio yake, ikiwa nyie Simba mafanikio yenu ni pamoja na kuwa na Whatsapp channel lakini wao Yanga mafanikio yao yapo uwanjani kwa kuhakikisha wanabeba makombe
 
Kuna Yanga app, kuna Yanga TV Ila hakuna channel ya Yanga whatsapp.

Labda kama imeunganishwa na channel ya Mwigulu Nchemba itakuwa ipo huko.
Wewe mbumbumbu unashindwa nini kwenda Whatsapp kuhakiki? Kweli Rage hakukosea, unabisha wakati unasmart phone, Mandunduka bwana.
 
Kwa Tanzania SIMBA ni kinara wa mafanikio kimataifa, CAFCL wamepiga sana tu huko hadi wakajulikana mapema kimataifa, walifungulia njia kwa kutinga hadi robo fainali mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote TZ, [emoji196][emoji196]wamewaiga Simba watangulizi wao kwa kuchungulia kwa mara ya kwanza CAFCL hadi robo msimu huu.

Sina shaka [emoji196][emoji196]wataficha aibu yao na kujikaza kiume kwa kuwaiga Simba watafungua channel yao huko whatsapp soon ili wakimbizane na vinara wa kimataifa.

Hakuna ubishi Simba ni baba lao kimafanikio hapa tz, hivyo [emoji196][emoji196]wasione aibu kuwaiga Simba.

Hata hayo mafanikio ya CAFCL ya robo fainal, Yanga watayafikia na kufika mbali zaidi..
Kutangulia sio kifika ndivyo msemo ulivyo
 
Kwa Tanzania SIMBA ni kinara wa mafanikio kimataifa, CAFCL wamepiga sana tu huko hadi wakajulikana mapema kimataifa, walifungulia njia kwa kutinga hadi robo fainali mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote TZ, 🐸🐸wamewaiga Simba watangulizi wao kwa kuchungulia kwa mara ya kwanza CAFCL hadi robo msimu huu.

Sina shaka 🐸🐸wataficha aibu yao na kujikaza kiume kwa kuwaiga Simba watafungua channel yao huko whatsapp soon ili wakimbizane na vinara wa kimataifa.

Hakuna ubishi Simba ni baba lao kimafanikio hapa tz, hivyo 🐸🐸wasione aibu kuwaiga Simba.
Nawewe ufiche albu mwaka huu ufike hata nusu final
 
Mambo ya kupeana link yapo kwenye magroup pekee.

Kwenye channel ni kuseach na kufollow tu mkuu.

Naona 🐸🐸hamuelewi hata maana channel whatsapp ni nini 🤣
Maskini, kumbe tatizo ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunadhani. Kumbe wanahitaji warsha kabisa kuwafundisha hizo channel ni nini
 
Maskini, kumbe tatizo ni kubwa kuliko tulivyokuwa tunadhani. Kumbe wanahitaji warsha kabisa kuwafundisha hizo channel ni nini
Siku zote 🐸 ni 🐸tu, waache waendelee na magroup ya Haji na Kamwe wanayoyaita kuwa ni channel 😂😂
 
Back
Top Bottom