Ndio yupo first year mkuu :'(
UDOM hakuna bachelor of education in mathematics , so natilia shaka bandiko lako lote
Aseee mnaosema hzo kozi cha mtoto shaurini wadogo zenu waje watawapa habari mm npo mwaka wa Pili LMV ARDHI akat natoka advance nilikuwa nabisha kama ninyii Ila mpaka sasa kuna watu nawaona wakizurura nataman ningekuwa wao...
aloooo Fanya ukiona mdogo wako kachaguliwa hapo mueleze ukweli ajue anakuja kusoma la sivyo elimu yake itaishia mwaka wa kwanza.
Sikatai kwamba uko kwingiñe sio kugum lakin....duuuh "shake well b4 use"
Inaitwa bachelor of education in science,teaching subject mathematics.koz hii ipo college of education.Ukienda college of natural science kuna kozi inaitwa bachelor of science in mathematics.
edit sasa bandiko lako sema bed science tukuelewe
use a polite language sasa na wewe
polite gani unaitaka mbna mzito hivyo wewe
una hamu ya makofi, mimi ni sawa na baba yako
pspa udsm noumer
Au anamaanisha with mathematicsMh! iko bachelor of education in mathematics ?