Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

Kwa hizi course ni ngumu sana kupata GPA kubwa

Aseee mnaosema hzo kozi cha mtoto shaurini wadogo zenu waje watawapa habari mm npo mwaka wa Pili LMV ARDHI akat natoka advance nilikuwa nabisha kama ninyii Ila mpaka sasa kuna watu nawaona wakizurura nataman ningekuwa wao...

aloooo Fanya ukiona mdogo wako kachaguliwa hapo mueleze ukweli ajue anakuja kusoma la sivyo elimu yake itaishia mwaka wa kwanza.
Sikatai kwamba uko kwingiñe sio kugum lakin....duuuh "shake well b4 use"
 
Udom kuna walioko Informatics, yaan ni full tabu, sijui ningekuwa huko ningewezaje!!!
#Nawaza tu#
 
UDOM hakuna bachelor of education in mathematics , so natilia shaka bandiko lako lote

Inaitwa bachelor of education in science,teaching subject mathematics.koz hii ipo college of education.Ukienda college of natural science kuna kozi inaitwa bachelor of science in mathematics.
 
Aseee mnaosema hzo kozi cha mtoto shaurini wadogo zenu waje watawapa habari mm npo mwaka wa Pili LMV ARDHI akat natoka advance nilikuwa nabisha kama ninyii Ila mpaka sasa kuna watu nawaona wakizurura nataman ningekuwa wao...

aloooo Fanya ukiona mdogo wako kachaguliwa hapo mueleze ukweli ajue anakuja kusoma la sivyo elimu yake itaishia mwaka wa kwanza.
Sikatai kwamba uko kwingiñe sio kugum lakin....duuuh "shake well b4 use"

Ndugu yang elimu ya chuo kikuu mi sina hamu nayo kabsaaa,mi niko UDOM MWAKA WA 3 COLLEGE OF INFORMATICS ,ni taab jamaa zang wamepukutika tulioanza nao,nilkuwa nasikia udom kuna unafuu nilichokikuta huwezi kufikiri,labda private kuna kaunafuu bkoz vyuo ving hawadisco wanaogopa kukosa ada,kwan vyuo vya private hutegemea ada za wanafunz pekee,kwa wale ambao hawajaenda bado vyuo,mkienda serikarin mtakuja kuniambia
 
Ufaulu unachangiwa na mambo mengi kuanzia lecturers mpaka materials kama vitabu vingi kwa maana different authors, different books and journal articles same subject.
 
Inaitwa bachelor of education in science,teaching subject mathematics.koz hii ipo college of education.Ukienda college of natural science kuna kozi inaitwa bachelor of science in mathematics.

edit sasa bandiko lako sema bed science tukuelewe
 
Bsc in civil engineering
Structural analysis
Reinforced concrete
Bila kutumia software
 
mleta uzi kilaza...cozi zote za edu ni mchekea kaka! wew kam ni kilaza hata diploma ya edu inakumwaga tu!!!
angalia matokeo kidato cha pili 2015 (FTSEE) PASS ilikuwa ni D mbili tu ili apate 0.3 GPA lakini watoto wamefeli!!&&
 
Back
Top Bottom