Ni vile tu watanzania wengi akili yao imepumbazwa..lkn kwa anayefanya hmwork yake inavyotakiwa kufahamu watanzania walivyo kwa bases za makabila, dini, elimu na mali kila kitu kinajulikana..wachaga ni wabinafsi, wapenda sifa na ufahari..nk
Lema alipaswa kukaa kimya kipindi hiki harafu huko kwenye vikao vyao wangepambana
..kwa hiyo wanapoua kwa ajili ya pesa ndio hawajakaa kizembe..mshenzi kabisa wewe huna hata haya!Wachaga wanajua kupiga hela hawajakaa kizembe
Safari hii hela zitawapiga wao. Mtu asiyejua kusoma alama za nyakati acha ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe!Wachaga wanajua kupiga hela hawajakaa kizembe
Vipi wanawake na wa Zanzibari nao tuwape hukumu kwa ajiri ya matendo ya hovyo ya Samuya na mabaya kuliko accusations unazowapa wachaga, acha ukabilaSafari hii hela zitawapiga wao. Mtu asiyejua kusoma alama za nyakati acha ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe!
Damu za binadamu sio za kuzifanyia mzaha hata kidogo!
Vipi wauaji na watekaji ambao nina uhakika unajua jinsia zao na makabila yao?..kwa hiyo wanapoua kwa ajili ya pesa ndio hawajakaa kizembe..mshenzi kabisa wewe huna hata haya!
Ni vile tu watanzania wengi akili yao imepumbazwa..lkn kwa anayefanya hmwork yake inavyotakiwa kufahamu watanzania walivyo kwa bases za makabila, dini, elimu na mali kila kitu kinajulikana..wachaga ni wabinafsi, wapenda sifa na ufahari..nk
Ndugu yangu kwenye ubinafsi na ufahari utawaonea wachaga tu.Ni vile tu watanzania wengi akili yao imepumbazwa..lkn kwa anayefanya hmwork yake inavyotakiwa kufahamu watanzania walivyo kwa bases za makabila, dini, elimu na mali kila kitu kinajulikana..wachaga ni wabinafsi, wapenda sifa na ufahari..nk
Tena kwenye jeshi na polisi wamejaa wakurya halafu mtu anasemea wachaga ndo wakabila...kuna Mchaga yeyote anahusika na Oct 29?
..Jeshi, Usalama, Polisi, Mahakama, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa vyama, kote huko hakuna Wachaga.
Tena kwenye jeshi na polisi wamejaa wakurya halafu mtu anasemea wachaga ndo wakabila.
Karibu kila mkuu wa jeshi ni mkurya
Ukabila nchi hii si wa wachaga tu.
Hili suala la damu sijui za binadamu waafrika mmejazwa ujinga tupu..Safari hii hela zitawapiga wao. Mtu asiyejua kusoma alama za nyakati acha ajikaange kwa mafuta yake mwenyewe!
Damu za binadamu sio za kuzifanyia mzaha hata kidogo!
Mfano kabila gani kwenye pesa wanachomoa!Wachaga kwenye Pesa hawachomoi, nina ushuhuda kabisaa
Niseme tu kaskazini yote, watu wa huko huwa wanafika bei sana.
Hili suala la damu sijui za binadamu waafrika mmejazwa ujinga tupu..
Wakoloni wameua mababu zenu mbona wao hizo damu haziwapi laana yoyote ndo kwanza wanapiga hatua zaidi ya nyie mliouliwa babu zenu?
Linapokuja suala la kupambania jambo pambana usitie neno laana karma sijui damu na porojo zingine mnachelewa kwa kujifafiji na misemo hiyo.
Mtu anakuulia ndugu yako wewe unakaa na msemo eti damu zitawalaani.
Sasa hiyo ujerumani iko level sawa na waafrika?..Wakoloni wa Kijerumani ndio wanaongoza kwa kuuwa Watanganyika, anayefuatia ni Mama Abduli.
Zitto ni mchaga? Kabudi aliyeita rais ''mungu'' ni mchaga? Makonda ni mchaga? Kikwete ni mchaga. Hii ni tabia ya wanasiasa wengi wa kitanzania na haina kabila. Vyeo na fedha ndiyo ujasiriamali wao. Wengi wanachukuwa loophole ya wananchi wajinga wasiojitambua.itafikia kipindi itakuwa ngumu sana hata viongozi wanaotokea uchagani wenye uzalendo na msimamo kupata wakati mgumu kukubalika.
Kila unakoenda unakutana na comment juu ya wachaga kufika bei kila kitu mpaka kwenye vitu vinavyohitaji msimamo
Sasa hiyo ujerumani iko level sawa na waafrika?
Waarabu je?
Huyo mama abdul je mko sawa nae?
Yaani ushindwe kupambana kuzui jambo eti ukae tu ukisubiri sijui laana sijui karma?