BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Ukishaona mtu anaingiza ukabila penye anaweza hata yeye kuwepo ujue ubongo wake una ukomo wa kifikra na kisera.Zitto ni mchaga? Kabudi aliyeita rais ''mungu'' ni mchaga? Makonda ni mchaga? Kikwete ni mchaga. Hii ni tabia ya wanasiasa wengi wa kitanzania na haina kabila. Vyeo na fedha ndiyo ujasiriamali wao. Wengi wanachukuwa loophole ya wananchi wajinga wasiojitambua.